Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi klopp niliona mahali baada ya mkataba wake anaondoka , ni kweli? Au sikuelewa , na kwann hataki kuongeza mkataba , au kazi iliyomleta Liverpool anahisi atakuwa kaimaliza? Ulimwengu wa sasa umebaki na makocha wa kuhesabu wenye philosophy na tactics .
 
sawa kabisa mkuu,na kuongezea point nyingine pia...msimu huu tunacheza high defensive line kutokana na sababu mbili zifuatazo(IMO)

1. kuubana uwanjani uwe mdogo hii inasaidia pressing game(from the front line) kuwafanya wachezaji hasa middlefielders wasichoke kwa kucover short distance during sprinting ukilinganisha na deep defensive line uwanja unakuwa mkubwa sana.Hii waulize city hawakuamini kilichotokea community shield akina hendo wana press 90 minutes pasipo kudrop intensity

2. Ujio wa VAR unahakikisha kuna uhakika kuzuia makosa kutoka kwa marefa hasa kwenye offside tricks(high defensive line)

Mfumo huu ukikaa sawa baada ya mechi kadhaa itakuwa zaidi ya moto,klopp anachokifanya ni-kurotate viungo tu na itapunguza sana injuries hasa hamstring.
 
Kasema anachukua lizkizo. Nadhani ndo muda GERARD atarudi kwenyw timu kama kocha mkuu. Rangers yupo pale kupata uzoefu zaidi. Mpk klopp akiondoka
 
Emre Can bhana! Eti alitaka kushinda CL pamoja na Ronaldo msimu uliopita!

Then eti msimu huu pia alitaka kutimiza ndoto Yake ya kushinda CL na Ronaldo ha ha ha ha

Sasa sijui Ronaldo yupi aliyemkusudia kushinda nae CL wakati ameachwa kwenye kikosi kitakachoshiriki CL
 
Wamemfanyia umafia mkubwa, kwanini juve wasingemwambia mapema ,angetafuta zake timu .
 
Jamaaaaa haishiwagi vituko huyu. Hii wiki ya international game ambayo imetupa break itakufanya upanue domo lako sana, trh 14 siyo mbali utapotea tena na September 22 nitakupanda kavu kavu
Tulia mze baba tuliaaaa...
 
Tatzo ni kwamba angalia man u iliopga liverpool nje ndan ni ipi pia angalia liverpool alkuwa na squad ipi!

Ila kwa sasa man u mbele ya liverpool hakuna hata game moja ata msumbua liver

Msimu uliopta man u pre season kwenye lig kafa moja hyo nyngne draw tu ikawa kama ushindi,

Kwa Everton miaka more than 5 ep seasons #lfc haja lose mbele ya Everton.
Zaid ya draw,

Kuhusu man cty ni ngumu kusema tutachukua points zote lkn pia na yeye hawez chukuwa point zote kutoka kwetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…