Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwann alidraw na tot...
Mpira hauko hvyo unavyosema,

Man city kwa liverpool anapata wakati mgumu sana kushinda kama unafatilia

Pia man united mtoe katika kumzuia liverpool,
Mechi za Liverpool na Manchester United ni Arch-rival derby, mara ya mwisho ni Manchester United ndio amempiga Liverpool nje ndani sasa niletee ilikuwa mwaka gani Liverpool anampiga Man U nje ndani katika ligi


Binafsi sioni Liverpool akimpiga Man U nje ndani kama Guardiola alichokifanya msimu uliopita

Sawa Man City ngumu kumsumbua Liverpool ila Liverpool hawezi mpiga nje ndani Man City kwenye ligi.

Bado kuna Everton wabishi sana kwenye derby ya Liverpool, msimu uliopita Liverpool alidondosha point mbili Goodison park point mbili muhimu kuchukua ubingwa ilihali Spurs alishinda 6-1 hapo hapo Goodison park
 
Mauzo/Mikopo ya Wachezaji tokea mara ya mwisho kufanya big signings.

√ Wilson + Grujic + Taiwo loan fees = 5m
√ Kent 7m
√ Ejaria 3.5m
√ Ings 20m
√ Solanke 20m
√ Migs 6.5m
√ Duncan 2m
√ Camacho 7m

• We’ve spent about £2m on players this summer (Van Dem Berg & Harvey Elliott)

Tumeingiza about £69m mpaka sasa
 
personaly i always say if there is one lucky dude out there ni huyu Hendo...na man the guy can shout...countless time he losses the ball, countles time he losses his ground...running around th pitch and not covering or closing spaces is his best stat...how this Sunderland boy still remain in 1st team is just a miracle....there are at tyms anakua na good game basi hapo utamuona bichwa hilooo...

his should be interlinking the fabby,defence and front but rarely you see that happening...physical presence alone is not enough if he cant connect well wt the back and front...

without a proper 10 au we will continue wt this kind of discussion which are also very healthy...

My most improved players overral ni Matip and the Bald Fabby....this two guys are just effecinent at the top level they have worked their way all through to the 1st team.....they keep thier positions, aerial power, tackling, blocks, interception etc...now i wonder why wil i see Hendo in tht calibre..he has been with us since time in memorial if other can raise thier game why not him lol...he is a pure bum..

For us to shine we need our LB and RB attacking just like last season and Fabby covering them...expecting Hendo or Gini to produce magic pass is just dreams...like you said vs Norwich we nearly bottled t but seeems Klopp has learnt his lesson properly....i dont have th stats but i guess lasr season our mids couldnt even account to 15 assist combined..that why we need LB and RB helping with attack...

the quality of corners and fouls has come down slightly this one area we perfomed damn well last season...hopefuly TAA find his lost touch in that area...

though Klopp is not a big fan of January window if we could get a proper 10 then that would be a super coup to sail through our dark days in Jan and Feb...

if with this 1st 11 there is no injuries we are okay...the quality of our competitors minus City aint that really high so we just have to keep its cool, be patient like we were vs Burnley and the goals will come...
 
Hakuna pingamizi juu ya hili, japo bado ni mapema sana
 
Michael Edward Effect,. Hili deal la Solanke lilinifurahisha.
 
Inawezekana Hendo akawa mchezaji mwenye bahati kuvaa reds shirt kwa mafanikio.
 
Hakuna mgao kwa mashabiki wao hapa jf ?
 
Sean dyche aliona ile high defence line itakua rahisi kwake kupenya akacheza 442 ambayo alikua anakabia juu na kupiga counter sana Kibaya kwake alikutana na ubora wa miamba miwili hapo nyuma Matip na VVD wakaimaliza game plan ya Dyche, na kizuri zaidi ni vile walivyoutanua uwanja nilifurahi sana ilitupa mianya mingi sana ya kupress kwenda mbele kwa wepesi wa kiasi chake, kuliko wangekabia chini sana na kuubana uwanja kama kawaida yao.

Hii high line inamuhitaji opponent àwe na front line timamu na AM mwenye ubora wa clear long balls,. I can't kukutana na Nuno (wolves tactician) pale kwao maana ndipo huwa bora,. pep na Brendan Leicester imenivutia uchezaji wake United & Everton (sababu ya upinzani ulipo)

Kikubwa hii International isitulete injuries sababu ni kiwanda kizuri cha injuries.
 
Na Bayern playoff VVD anatumia adhabu huyu huyu Lovren akamdhibiti Lewo
Lovren sio beki mbaya kama baadhi wanavyo mzungumzia
 
Yes mi natabiri Liverpool na Man city msimu huu wanacheza fainali na matokeo ni Liverpool anakufa mbili moja man city anabeba ndoo if and only if km man city au liver hatakutana na mwingeereza mwenzie
 
When it comes kwenye issue ya off the ball movement Hendo is very shit. Off the ball movement ni most important in the pitch than when yo in a football possession.

This is what creates spaces for others by forcing yo opponent either waingie ndani hence leaving wide area pembeni au watoke pembeni na kuacha free spaces katikati.

Play a big role kwenye wepesi wa kuingia into spaces created by yo team mate. Seen in more than one occasion Hendo akisimama behind the opponent player na kuwafanya wenzake washindwe ku mpasia mpira.

Off the ball movement creates possibilities za ku block passes za opponents and plays a big role when reading the movement ya adui aliye katika nafasi ya ku receive the ball, pia humpunguzia passing options adui ndo maana kuna wakati mlikuwa mna attack inabidi mrudishe mpira nyuma muanze upya.

Hendo yuko poor sana kwenye haya, bora alivyotolewa DM na ana bahati sana kucheza Liverpool plus his fellow Lovren. He is our captain but what he offers inside the pitch is shit.
 
AUGUST RANKING
10. Andy Robertson
appearance 6
goals 0
assist 0

9. Gin Wijnaldum
appearance 6
goals 0
assist 0

8. Jordan Henderson
appearance 6
goals 0
assist 0

7. Trent A Arnold
appearance 6
goals 0
assist 3

6. Fabihno
appearance 6
goals 0
assist 1

5. Mohamed Salah
apperance 6
goals 3
assist 2

4. Virgil van Dijk
appearance 6
goals 1
assist 1

3. Joel Matip
appearance 5
goals 2
assist 0

2. Sadio Mane
appearance 5
goals 4
assist 1

1. Roberto Firmino
appearance 6
goals 2
assist 3

source: This Is Anfield
ukiacha takwimu wameangalia kwa ujumla mchango wa mchezaji na kufikia kutoa hizi nafasi
 
BAHARIA MMOJA AMEAMUA KUTOA YA MOYONI KUHUSU VVD


Kwangu Mimi naona huyu jamaa ana bahati Sana tena Niite ya mtende......amecheza soka nyakati ambazo mabeki bora, makini na katili wameisha duniani.....huyu bwana angecheza miaka kumi nyuma wala asingetajwa kweny timu bora ya UEFA......huyu bwana amecheza nyakati ambazo mabeki wa Man Utd ni Phile Jones, au Smalling.....Chelsea wakimtegemea Kourt Zouma, na Rudiger.....Arsenal wakimtegemea Sockratis na Luiz, kweli?.....Barcelona hawana tena Puyol na Raphael Marquez, Hakuna tena Fabio Cannavaro pale Juventus na baadae Real Madrid....Hivi huyu Beki anawajua Vidic na Reo Ferdinand? ......mabeki hawapo duniani Sasa hivi ndg zangu, hatuna tena Alexandra Nesta wala Alexandra Costacuta,......huyu jamaa hata kwa Paulo Maldini asingeokota namba.....Yule beki katili Carles Puyol au Lucio, au hata Roque Junior huyu dogo Sijaona tackling za Nesta kwake
Kweli duniani Hakuna mabeki mpk Frank De Ligt wanasifiwa......hongera Sana kijana.....una Bahati Kama vijana wanaosoma Leo shule nyingi za kata, vyuo vikuu tele...mtuulize sisi enzi za Mlimani
 
Dah nilikuwa sipendi kuingia humu kupata maumivu
Hadi now we are European Champion ndo naingia humu...

Kweli nyakati zimebadilika..

Hatimae tuna enjoy football ...
The boss kitambo sana humu

Interesting
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…