Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
angalau hawa machali wetu wamekua wanafahamu kukwepa tackles zisizo na maana...pale turf mor sio mahali salama haswa kwa kucreate injuries kwetu!
Nimepinda kwenye Uzi wa aseno huko jamaa wanagomba hao, daaaaah
Hapana aisee, natamani tucheze zote ili kina Shaqiri nao wacheze, maana kuna muda unakuta wanahitajika huku kwenye games kubwa wanazingua kwa sababu hawana game time.
huyu msomali binafsi nilishaona ni super FLOP mpaka anakuja kuniprove wrong alivyoumia Gomez na hakika jamaa hajarudi nyuma kiwango chake ni bora kabisa na parnership yake na VVD imetulia mno...Sijawahi kukosa imani na huyu jamaa tokea ajiunge Liverpool
Niliwahi kudebate na Mtu hapa ambaye nimeshamsahau kuwa Liverpool ndiyo timu yenye Defence bora kwasasa duniani, Nakumbuka alinipinga sana akaniletea habari za Kina Maguire, Pique, Varane, Chiellini and co.
Kwasasahivi ni Gomez tu ndiye uchochoro baada ya kutoka injury
kwa namna kikosi kilivyo 'finyu' hili wala usitie shaka itakuja yenyewe automatcaly...ni kama last season..Hivi munaonaje tukasacrifice FA na Carabao kwenye round za kwanza then tukakomaa na EPL & UCL only?
ni Anfield Fortress...Tunaenda msimu wa 3 sasa Liverpool kwenye epl haija fungwa anfield,anfield pamekuwa pa moto sana kwa timu pinzani kuchukua point 3. Vijana wanachangamka mwanzo mwisho.
kama majirani zao Manu jana....Nawaombea Mancity njaa kesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anacheza na nani ?Nawaombea Mancity njaa kesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
handerson hakucheza vizuri fabinho na wijnadnum ndio walioficha makosa yake,ila nimtazamo wangu tu my dear fansMe nikashangaa mbona kila mtu anacheza vizuri tu,anafanya sub ya nini?hadi mchezaji wako usiyempenda Henderson kacheza tu vizuri.
🤣🤣🤣🤣 wanateseka hawa timu ya kumfunga championNimepinda kwenye Uzi wa aseno huko jamaa wanagomba hao, daaaaah
kule upande wa kulia ndio siku za karibuni kumekua uchochoro lakini jana Ganaz walitukaribishe tufanye mashambulizi na wao wapige counter hilo kwetu likawa ni blessing in disguise maana tulihitaji vile ili wachezaji wetu warudi kwenye makali esp TAA, Gini, Faby...Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
good observation mkuu!Hapana aisee, natamani tucheze zote ili kina Shaqiri nao wacheze, maana kuna muda unakuta wanahitajika huku kwenye games kubwa wanazingua kwa sababu hawana game time.
ila wale jamaa wa turf more huwa wanacheza mpira wa nguvu mno na kukaba kwa papara mno ukilinganisha na timu nyingine ndio maana ninaogopa sana kwamba wanaweza kutusababishia injuriesangalau hawa machali wetu wamekua wanafahamu kukwepa tackles zisizo na maana...
kasoro Keita ndio bado hajamudu vyema kujikinga maana Epl sio Turf mor mbali ni kote ni mchakamchaka kuumia nje nje...
ila wale jamaa wa turf more huwa wanacheza mpira wa nguvu mno na kukaba kwa papara mno ukilinganisha na timu nyingine ndio maana ninaogopa sana kwamba wanaweza kutusababishia injuries
Nimesema vile kwasababu ya ufinyu wa kikosi chetu ili kuepusha injuries zisizo za lazima na wachezaji kuchoka.
Hebu angalia anatoka Firmino na Mane anaingia Lallana hapa ni kuonesha kuwa hawa Front 3 watachoka mapema kwa kukosa mbadala.
Jana haikuwa Lallana wa kuingia bali ile ni wazi kuwa ilikuwa ni nafasi ya Origi
BournemouthAnacheza na nani ?
kocha kazingua sana,ila nafikiri unachokisema ndicho kilikuwa akilini mwake,yule muhindi aiseh bora ya WENGER....babu katika game kama ya jana na kikosi kile asingefanya makosa ya kifala kama yale...yeye angetandaza soka tu kama utamaduni wetu lakini gabachori yeye anazuia tu nyambaf kabisanadhani kwa kikosi cha jana mahesabu ya Unai ni kama vile alishaona Anfield hachomozi na ushindi hivyo jicho lake likawa kuwasubiri Spurs wekedi ijayo nyumbani....