Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool manager Jurgen Klopp has revealed that he was forced to sell Philippe Coutinho.

He said: “A player of absolute substance.
“I had him at Liverpool and I would never had sold him, if I wasn’t forced to.
“The offer was undeniable to us, it seemed strange, we couldn’t allow ourselves to hold him back.”
 
The self claimed best centre back in the world (Lovren) naona ananadishwa kama viatu vya Mtumba lakini hakuna timu inayomtaka hata kwa £10m.

Tulipokua tunakosoa uchezeshwaji wa huyu tulitaka kuaminishwa kwamba atatupatia EPL na UCL kwa kisingizio cha Soccer management.
 
Jinsi nilivyomsoma Klopp, anamwelewa sana Ox na haoni shida kumfanyia rotation dhidi ya Kapteni.

Hata zile game alizokiwasha kabla ya kupata majeruhi mara chache sana walikuwa wanacheza wote, ilikuwa Ox akiwemo Hendo hakai.

Na kibaya zaidi position anayocheza Hendo ndiyo hiyohiyo anayocheza OX, Sijui itakuaje sasa.
 
Hao arsenal wanapigika tu za kutosha, wakifungwa chache sana ni 3
DAN CEBALLOS

......We know it will be a tough match against the European champion. Absolute respect, but no fear. We go all out! Let´s go Gunners![emoji123][emoji123]"
 
Mpira una matokeo ma 3 , weka akiba ya maneno , usije kukimbia baada ya mechi, usituchukulie poa,

We want to revenge at anfield

Njia moja tu ya kumfunga Liverpool, Defend Deep.

Ukidefend Deep a.k.a Kupaki basi then muvizie Kaunta, Hapo utafanikiwa kutufunga au kutoa Sare kwani hatuna Midfielder mbunifu wa kuweza kupenetrate mipira kwenye defence iliyopakiwa.

Lakini Mukijifanya kuitaka Game mapema mukapandisha Viungo wote juu pamoja na washambuliaji! Hapo Kina Mane na Bobby lazima wawapoteze.

Na hilo ndiyo kosa alilolifanya Emery last season pale alipokuja Anfield kujifanya game anaitaka.
 
Cou alitakiwa kurudi japokua alituudhi sana, lakini kama tunahitaji ubingwa Cou angesaidia sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…