Tukiachana na the so called fucking soccer management, sasa tuzungumzie player management!
Kwenye game ya juzi nadhani sote tumeona jinsi AOC alivyoanza kuregain kile alichokiacha last season.
Sasa management nzuri ya mchazaji kama huyu ni kumpa more game time na si kumueka bench ukategemea aboreke akiwa bench.
Na njia pekee ya kumrudisha AOC halisi ni kumuanzisha next game against Arsenal ili ajenge confidence.
Imagine na Keita awe fit then ukute Mido ya Keita-Fabinho-Chamberlain nadhani Kina Bobby, Salah na Mane hakutakuwa na game watakayokosa magoli 2+ kwani ile tabia ya kushuka chini kuja kuchukua mipira itaondoka na badala yake watakuwa wanalishwa tu na Keita & OX.
Lakini sitoshangaa next game kukuta Mido ya Gini-Milner-Hendo
Wee yaani hujuiagi wachezaji wa Klopp in big games ni wale usiotarajia kamwe...defence pale utashangaa TAA, Gomez, VVD Robbo....Kati pale utaona Gini, Fabi, Hendo...au Lallana, Fabi, Hendo..
ni ukweli usiopingika hakuna namna bora ya kumtumia zaidi mchezaji aidha kwenye mfumo au namba fulani kama sio kumpa dakika za kutosha uwajani na sio mazoezini...Ox huyu anahitajo game kama 3 hivi za kurudisha ile rythym yake kabla hajaumia msimu ulee...pengine Klopp amelijua hilo ndio maana kampanga mechi 2 mfululizo natarajia pia vs Ganaz awepo uwanjani....
Fabi kloop alijaribu kufanya trial and test basis kwake lakini alifeli baada ya ndogo kila akipangwa ilikua kazi kazi...ile game ya vs Ganaz away, Vs Manu home na Vs Bavarians home and away ndio zilimfanya Klopp aone ndogo sasa hakuna namna ameiva...Fabi took his chances without hestitation and did wonders...
for a very long since Mascherano alivyoodoka hatuwai pata a real SWEEPER ....kabla ya lile jeraha Lucas alijitahidi mno lakini hakufanikiwa kumiliki pale kati....sasa tumempata a no joke SWEEPER in Fabi...
Kama tulivyohangaika pia kupata LB wa level za juu, tukahangaika mno kumpata kipa wa level za juu, pia CB/_CH in VVD naamini Klopp akiwapa dakika na hawa MP players wetu in OX na Keita akiwa mzima tutakua tumekamilisha kikosi kilichosheheni vipaji sio ilivyo sasa tunachanganya vipaji na walugaluga Hendo and crew...
Jmosi its will be fireworks...Ganaz vs Real Reds hua hakuna mzaha ni full joy mwanzo mwishoooo