OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Sisi kunyanyua kwapa ni uhakika mkuu ..iyo Mickey mouse tumewaachia tu ili na nyinyi muonekane mumebaba kombe msimu huu..Yani kama Liverpool hamna kombe atabeba msimu huu sijui sasa Chelsea watagusa kitu gani!
Kama Burnley unapata ushindi kwa tabu ivyo ..ukikutana na Mane Si ndo kabisa utapotea apa jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23]Lin unajipiga ban tena maana msimu huu ban za kujipiga mwenyewe hazitakauka
Sasa unataka kusema nini mkuu...Kitukooooooo..... Eeeh
Hii type yako tunaita ni jamii ya chanjila
Kamudomo-mudomo
Hivi we jamaa ni shabiki wa timu ganiYani big 6 yote ukikutana na city omba draw tu.. Mana hali ni tete kwa hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa bado sana kuanza kupata walau point 1 ,Mimi naanza kuesabu point kesho..
Midfield imekufa mkuu unategemea firmino ata fanya nini??Hizo kauli zako zote zinavumilika ila hiyo ya firmino embu ifute na ututake radhi. Halafu barca ipi unaiongelea ile iliyofungwa nne na kina origi au hii iliyopigwa na bilbao wakiwa wanazurura pale uwanjan
Kwan Burney wabovu? Sijaangalia mpira ,ila nasikia tumecheza vzr tu,Kama Burnley unapata ushindi kwa tabu ivyo ..ukikutana na Mane Si ndo kabisa utapotea apa jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Liverpool ilipoteza mashabiki baada ya kufanya vizuri ndo mumeanza kurudi...Sema mna mashabik weng hapo mtaan kwenu sio dunian
Ligi ndo inaanzaMidfield imekufa mkuu unategemea firmino ata fanya nini??
Kwa nyie naona munaenda kudhibitisha bila ya Mane hamuna ushindi ..na kama mukishinda basi ni jitihada binafsi tu..Na Wale Barcelona bila ya Messi ni sawa na Kigenge cha Panyarodi wa Tandika
Kesho nawaonea huruma , mnaenda nafas ya 20Hongereni majogoo. Mane is special player. Namkubali sana jamaaa. Hana mbwembwe anapokuwa langoni mwa goli
Ligi ndo inaanza
Maneno mnayo mengi
Liverpool iyo apo mlangoni jipange mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Burney wabovu? Sijaangalia mpira ,ila nasikia tumecheza vzr tu,
Next mech namuachia unai , maana simuelewi
Yan nyie kushinda gemu mbili na midtable teams mshajiona tlni title contenders (achilia mali top four[emoji23][emoji23])Hahaaaaa bado sana kuanza kupata walau point 1 ,
Yan nyie kushinda gemu mbili na midtable teams mshajiona tlni title contenders (achilia mali top four[emoji23][emoji23])
Unakumbuka msimu uliopita mulishinda game 22 mfululizo??
Sisi tunahesabu tuu...
City kashinda ngapi?
Kuna Mwana Liverpool hapa week jana aliandika kwa dharau sana kuwa Pep kaisha chukua usukani na hatoki tena!
Kaendelea kuongea kuwa Klopp yy anakalia kusajili yoso tu
Nawaonya hapa kila siku,tuchague sana maneno ya kuandika
Pep ambaye hafungiki leo kashinda ngapi?
Thank you Klopp!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise acha tu mkuu ..zile 21 unbeaten ziliwaingiza mkenge mkuu wakaona wanaeza beba ata EPL...Wazee wa 21 unbeatable run. Hivi nyie utani wenu wa jadi hauishi.
Daaah!!!!! hii dunia bwana yaan wenzako chelsea wanaomba hata kupata droo wajisikie vizur ww unalalamikia cleansheet. Have graditude in life itakusaidia kuenjoy maisha la si hivyo utaona kila kitu kibaya hata kama ni jambo zur limetokeaTumekosa Clean sheet kizembe kabisa