Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nashauri Kipa asichezeshwe Back pass
Dah! Hakuna lisilofaa! Huyu anajitahidi kulingana na uwezo wake, Tatizo lake kubwa lipo kwenye kuanzisha mipira tu.
Pia hawezi kuplay ball by foot hasa pale anapopewa Back pass.
Hope ataendelea kuwa na Confidence
Hivi kwa nn hatukusajili si wangenikopa hata mimiNilisema hapa
Ki me save penati juzi li bichwa likubwa nowVan Dijki anatakiwa ampige makofi!
Jamaa Jinga sanaKi me save penati juzi li bichwa likubwa now
kafanya mistake ya kisenge sanaHuyu golikipa ajiheshimu aisee, anafungishaje goli la kijinga hivyo? Karibia tupigwe la pili shenzy kabisa!
Looserfools mnapigwa 2 kwa 1... Let's wait
Alison ameshafanya mistake kama hizi zaidi ya mara mojaTumekosa Clean sheet kizembe kabisa
tena Allison ndio hua akipewa back pass under presure hua ni majanga for realllllAlison ameshafanya mistake kama hizi zaidi ya mara moja
naona Ox kajitahidi kiasi chake.... all factors considered.Game ya leo tuna wachezaji 7 tu dhidi ya 11 wa Soton.
1) Adrian
2) TAA
3) Matip
4) VVD
5) Tobbo
6) Milner (Angalau)
7) Mane
Lakini 4 hawamo uwanjani
1) Gino
2) OX
3) Bobby
4) Salah
playing shits playball n yet we manage3 cool points am very much okay with this...winning ugly3 Points kibindoni