Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitukooooooo..... Eeeh

Hii type yako tunaita ni jamii ya chanjila

Kamudomo-mudomo
 
Hizo kauli zako zote zinavumilika ila hiyo ya firmino embu ifute na ututake radhi. Halafu barca ipi unaiongelea ile iliyofungwa nne na kina origi au hii iliyopigwa na bilbao wakiwa wanazurura pale uwanjan
 
Kwakweli midfield hatuna kitu pale hawa Hendo Milner sjui wanafanyaje mpaka leo.
 
Sema mna mashabik weng hapo mtaan kwenu sio dunian
 
Chelsea mko mashabiki Wengi?

Kumbe we hujui hata ulimwengu wa soka ukoje... Gugo ikusaidie Tu

Chelsea is a backyard pet wa Roman
 
Grujic anatakata tu huko alipo wakati sisi tunastruggle kwenye midfield

Dah! Jamaa anaupiga mwingi balaa, Nadhani hii ndiyo season Yake ya mwisho kuwa kwenye loan, next season tutakuwa naye kwenye kikosi.

Lakini atasubiri mpaka Hendo atundike daluga.
 

Mashabiki wengi wa wapi Mkuu? Labda muko wengi kwenu Uliyampiti.
 
Dah! Jamaa anaupiga mwingi balaa, Nadhani hii ndiyo season Yake ya mwisho kuwa kwenye loan, next season tutakuwa naye kwenye kikosi.

Lakini atasubiri mpaka Hendo atundike daluga.
Kocha wetu ana falsafa za morinho hapendi vipaji yeye ni wanaojituma tu na miguvu ndomana hata tushinde 6 mapema kama milner yupo nje atamuungiza badala ya kuwapa uzoefu makinda
 
Na Wale Barcelona bila ya Messi ni sawa na Kigenge cha Panyarodi wa Tandika
 
Kiukweli kucheza na Southampton Away ni real test today.

Hope nitaiona best Line-up
 
Nimeshaachana na mawazo ya kushinda kwa cleansheat sasa hivi ni kufikiria point 3 tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…