Na jpil kwa Leicester utakuja na ngonjera hizi hizi
Lampard ana mpira mzuri akipata muda,na wachezaji wazuri, na sio timu yenye presha kama Chelsea,
Leicester naona wakiwanyoa na kichupa bila ganzi
Aroon arudie maneno yake ya kushuka daraja na 10-0
Lakini toka EPL haijaanza nimekuwa nakuambia kwa Chelsea hii ni yakutajirika ,uwe unaweka 3+ , unabishaWewe huwa utabiri wako upo kwenye social media. Unakuwa na matokeo mkononi. Hata tukifungwa na leicester ni moja ya matokeo.
Matokeo huwa kuna Win, Draw &Loss. Na timu zote zinakuwa na lengo moja ya kupata points 3. So ukizidiwa mbinu mnafungwa.
Chelsea foreva
Hamtashuka daraja ila mtapata taabu sana,
Lampard ni kocha mzuri ana kitu anacho ila inamuhitaji muda na timu isiyo na presha,
Mtakuwa kila siku mnasema Leo tumecheza , ila end product itakuwa 0 point.
Mnavyokimbiakimbia mnajifariji big 4 mnaenda ila sisi wahafidhina wa EPL tunasema mtapata tabu sana .
Next ni Leicester mtapigwa 2-0 , ila mtacheza mpira mkubwa sana .
Lakini toka EPL haijaanza nimekuwa nakuambia kwa Chelsea hii ni yakutajirika ,uwe unaweka 3+ , unabisha
Haya kwa Leicester mtaupiga sana hadi kumwagika ila mtapigwa ,unamjua praet kutoka sampdoria? Unamjua Ayoze Perez? Tielsman je? Madsson ? Ohooo kuna vardy
3+ inaweza kutoka tena
Tunaangalia vikos kwanza tunatoa tathmin , next mech kuna kipigo cha 2+Sawa mkuu. Mpira dakika 90. Mbona mechi ya hakutoboa au hao wachezaji uliyowataja hawakwepo siku hiyo?
Calm down brother mpira unachezwa uwanjani mkuu siyo mdomoni
wewe ni mchawi kusave kote kule?Kipa hatuna...Kwa Adrian Pale tumeingia cha kike
mara Mia kabisaMm naona Adrian ni kipa mzuri tu kulinganisha na kina karius na mignolet
mkuu tatizo toka mmechukua UEFA mmejaa viburi wachezi hawataki kuruka koni [emoji23]Dah atleast ....
Ndo naenda kulaa...
Huyu klopp atatuua presha ...
Ila timu imechoka mazee , wachezaji wamechoka ...
Hivi ni kwamba hela za kununua wachezaji wapya zlkosekana
Duh..unanisahau mno Hadi mechi inanipitaLiverpool ndiyo wameshinda. Nisamehe aisee, maana nimejikuta niko off JF, napata muda kidogo sana wa kuingia humu.
Mkuu usimseme Kepa ..penati hazina ufundi ..ata iyo Adrian aliyosave ni bahati tu ilimgonga mguuni ..mbona Allison alipigwa tano zote kweny community shield ..na yeye tuseme ni m'bovu??
Duh..unanisahau mno Hadi mechi inanipita
We played very poorly Jana
Kama tunataka ubingwa, basi kuna kaZi ya ziada kufanyika
Viwango vya baadhi ya wachezaji wetu lazima vibadilike haraka sana
Wanaleta uslay queen siomkuu tatizo toka mmechukua UEFA mmejaa viburi wachezi hawataki kuruka koni [emoji23]
klop analalamika sana herndason haruki kabisa koniWanaleta uslay queen sio