HT liverpool 0-1 Chelsea.

Tumecheza hovyo japo tumetengeneza nafasi chache na tumeshindwa kuzitumia. Kante, Jorginho na Kovacic wamewazidi uwezo Fabby,Milner na captain Edo.

Backline yetu, imefanya makosa mengi. Kama forward line ya chelsea wangekuwa makini wangeshatuadhibu. Sijaona chochote alichafanya ox zaidi ya kuwa mzigo pale mbele.

Ni muda wa kumpumzisha Edo na mills na nafasi zao achukue Ginni na Keita. Ox arudi bench Bobby aje kumaliza hii show. Pia kama kutakuwa na sub ingine Gomez naye apumzishwe na TAA ichukue nafasi yake.

Chelsea wamecheza mpira mkubwa na wenye kuburudisha.
 
Keita majeruhi ndugu yangu...
 
Kwa timu hii ya Chelsea hata aje nani Liverpool hawaponi. Mimi nimekwambia mapema kati ndo engine ya Chelsea, Kante, Georginho na Mount in watu hatari. Na hapo Loftus Cheek, Rudiger, Odoi, Willian wako nje wengi wao wakiwa wanarecover from injuries
2nd half, tia gin, firmino, TAA
 
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
hua nikimkosa Firmino 1st 11 nakosaga kabisaaaa imani ya ushindi....

our most real proven threat pale mbele ni
1) Salah
2) Mane
3) Firmino
4) Origi

huyu Ox japo mzuri baada ya yale majeraha he is yet to hit that form...

sasa mtoe TAA ambae ndio hupiga klosi kama zote pale mbele anatuwekea Mills,Hendo typical English players hawa...

Klopp need to style up
 
Back
Top Bottom