Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,023
Yap, zile kama sio bahati Origi basi ni best finisher zaidi ya mmatumbi yeyote pale liver(real?). Mkuu kwa soka lilivyo miaka hii unahitaji wachezaji bora kabisa ili uchukue epl, la sivyo ombea wengine wawe hovyo(ndo kutegemea bahati) kama ilivyowakuta leicester. Mfano mzuri mane akaumia miezi mitatu benchi, replaced by origi utakua na amani?Kwa hiyi Origi amebahatisha mechi karibu saba tena kwa dakika chache anazo pewa?
This guy deserves £200k kabisaEriksen amewa reject Manure it sounds like.
Klopp should sign this boy aisee. am sure he'll be more than happy to play for the European champs under the Germany.
View attachment 1174734View attachment 1174737
Hata akiwa bure huyu harudi pale mshezi sana huyu kusingizia kuumwa ili asicheze tna Liver
Wàbebane ukouko wametuvuruga sana kipindi wanatakana sasa wavumiliane tu mana hakuna wakumlipa mshahara mkubwa kwa sasa
Klopp [emoji23] [emoji23] Klopp huyuhuyu? Sahau kabisa.Eriksen amewa reject Manure it sounds like.
Klopp should sign this boy aisee. am sure he'll be more than happy to play for the European champs under the Germany.
View attachment 1174734View attachment 1174737
Hivi analipwa bei gan hapo barca?kabisa alituvuruga sana ndogo...ni ngumu kuamini kama hali yake imekua hivi
Tatizo la dybala sio mshahara, tatizo ni girlfriend wake anataka sana kuishi London ndo dream city kufanya mishe zake za fashion, iyo mshahara ni namna tu ya kuikataa manure. Kama Chelsea tungekuwa tunasajili tungepita nayeTatizo la Dybala ni mashahara, Manu wameshindwa hapo pamoja na ubabe wao wa pesa, sidhani kama Spurs wataweza kumlipa huyo Muargentina
Kwa hiyo hao wapinzani wetu wao hawana wachezaji wa miaka 30?Milner will be a boost amid epl first game against norwich,
Hapa ndo hua nachoka kabisa labda wenzangu hua wanaangalizia mpira chumbani sio hadharani kama sisi, endapo title contender anafurahi kiungo mwenye miaka 33 akirejea dimbani kama ndio mwarobaini wa midfield, title holders wanamuuza delph bila uwepo wa fernandinho na wanakua tishio zaidi kuelekea ufunguzi wa msimu.
Coutinho inasemekana anarange kwenye £240k hadi £250k per weekHivi analipwa bei gan hapo barca?
According to Marca, the player takes home an annual salary of €13.5m (£12.4mHivi analipwa bei gan hapo barca?
Kwa hiyo hao wapinzani wetu wao hawana wachezaji wa miaka 30?
Au unajaribu kusema nn mkuu?
OkCoutinho inasemekana anarange kwenye £240k hadi £250k per week
Pep kweli yupo serious! Yani anaendelea kusajili kwa kumnasa Joao Cancelo
unamlalamikia nani sasa ?[emoji16]√ Spurs anazidi kujiimarisha
√ Man City anazidi kujiimarisha
√ Man United anazidi kujiimarisha
√ Arsenal anazidi kujiimarisha
• Chelsea transfer ban
× Liverpool banned itself from transfer