Unamlaani fundi asionyeshe ufundi wake ha ha haaa mimi naomba Hendo ndo aumie msimu mzimaa Lalana na Keita wapone.kabisa sasa kazi kwake ajilinde na majeraha ya mara kwa mara...
SurePep mwaka huu possibly ataweka kipaumbele UCL kwa hiyo kazeni buti msiliache hili kombe la EPL mwaka huu, likiwatoka who knows, fursa inaweza kupotea mpaka miaka mingine 20 iajyo
Hiyo sentensi ya mwisho hapo upo sahihi sana......Unamlaani fundi asionyeshe ufundi wake ha ha haaa mimi naomba Hendo ndo aumie msimu mzimaa Lalana na Keita wapone.
Asili ya mpira ni burudani.
Halafu anaendelea kuwa sajili madogo sijui anashinikizwaa?Ryan Kent could leave before the deadline but not available for loan. Liverpool want close to £10 ml for the winger.........................If suitable offer not tabled Reds inted to keep him for season ahead.
Haha haa haa kiukweli kabisa una mahabba na Eriksen.nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.
nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield - not so good news to us oh!
Nilichongundua hii ni Biashara tu sio vinginevyo.Halafu anaendelea kuwa sajili madogo sijui anashinikizwaa?
Sikusema Man City ni wabovu, nimejaribu kuihuisha fuse iliyokufa kwenu wana Yanhwa kwamba mkiizidi timu kama Man City always nyie ndio wazuri. Technically labda nyie mlicheza kawaida yenu ila Man City walikuwa chini ya kiwango that is what I wanted to show you guys
Tottenham today started talks also for Dybala with Juventus. Spurs are ready to make an official bid for €70M. But... the agreement with the player is so, so, so difficult. [emoji1630]Dybala to Spurs, Means Eriksen to Manure.
Watu wanazidi kujipanga
SILVA HATEGEMEWIPep hajawahi kuwa na game Plan ya kucheza chini ya kiwango! Hata vimechi vya mchangani Preseason anakamia na kupiga mtu saba.
Kwahiyo kila mechi anacheza kwa uwezo halisi wa timu.
Juzi ule ndiyo uwezo wake ulipoishia kubali kuwa tulimzidi uwezo tu.
Na marahii EPL atakuwa vibaya kuliko msimu uliopita Coz kuna wachezaji 3 wameshachoka.
1) Fernandinho (Umri)
2) D. Silva (Umri)
3) KDB (Injury)
Tatizo la Dybala ni mashahara, Manu wameshindwa hapo pamoja na ubabe wao wa pesa, sidhani kama Spurs wataweza kumlipa huyo MuargentinaTottenham today started talks also for Dybala with Juventus. Spurs are ready to make an official bid for €70M. But... the agreement with the player is so, so, so difficult. [emoji1630]
What is happening with Dybala, Spurs and Man United #THFC #transfer #MUFC [emoji3591] https://t.co/O11KJSHSLm
DILI BADO NI GUMU GUMU SANA KATI YA DYABALA BINAFS NA TOT
SIJUI TOT NA MAN U WANAKWAMA WAPI
ya Coutinho kwenda Arsenal hainipi shida sana for 2 reasons;Haha haa haa kiukweli kabisa una mahabba na Eriksen.
Ila asiende huko itakua noma ha haaa.
Kama nnavyo sikia habali za Asenal na Continho roho ina nikereketa.
upo sahihi kabisa ishu hapa ni back up ya LB na RB ndio kwangu naona itatusumbua...sipo convinced na TAA/Robby kucheza mechi zote bila majeruhi ama uchovu kadri siku zinakwenda na hapo Jan na Feb ndio hua mtihani sana kwetu....Kikosi hichihichi tulichonacho ikiwa hatutapata injury kwa Front 3 yetu basi tuna asilimia 90 ya kubeba EPL iwapo Klopp katika kipindi cha Jan - Feb atakuwa na Management nzuri kwasababu Hichi ndiyo Kipindi tulichokosa ubingwa last season.
Hapo ulipoandika 'no Salah,no Liverpool' umenikwazaKwani hao uliowataja si Salah ameshachezanao Misimu Miwili mfululizo na kubeba Kiatu Huku Harry Kane akidai kupewa mpaka magoli waliyofunga wengine?
Hebu tuambie ni umalizaji upi ulioukusudia ambao Salah hajawazidi hao uliowata?
Misimu Miwili Mfululizo Salah anaibuka Mfungaji bora wa EPL mbele ya hao uliowataja halafu unasema Hazard ni Mmalizaji bora kuliko Salah wakati Hazard anafikisha Miaka 29 bila ya kuwahi kufika hata goli 20 per season katika Career Yake yote?
Wakati mwengine Mkuu be Realistic Kwasasa EPL hakuna mshambuliaji bora kama Salah.
Unless uendeleze chuki tu zidiyake.
Nasema tena No Salah, No Liverpool.
Wengi wanaangalia kuwa tulimfunga Barcelona bila ya Salah huku wakisahau Kuwa Tulimfika huyo Barcelona kuchezanae kwasababu ya Juhudi za Huyo Salah.
ndugu hizo burudani zinahitaji pia awe anajiongeza ni wapi na muda gani azifanye...hata akina Messi wanajua wapi apige chenga na wapi atoe pasi...Unamlaani fundi asionyeshe ufundi wake ha ha haaa mimi naomba Hendo ndo aumie msimu mzimaa Lalana na Keita wapone.
Asili ya mpira ni burudani.
Tusidanganyane ,man hawajashindwa mshahara , ila dyabala anawadengulia huku anapandisha dau, man u ndio wakaona wachomoeTatizo la Dybala ni mashahara, Manu wameshindwa hapo pamoja na ubabe wao wa pesa, sidhani kama Spurs wataweza kumlipa huyo Muargentina
Taarifa zinasema Man U walipunguza mshahara anaotaka wa paundi 350,000 kwa wiki kwenda paundi 150,000 kwa wiki ndipo Dybala akakataa. Man U tayari wana mizigo hapo kwa hiyo zidhani kama watakuwa tayari kukubali mizigo mingine kwenye timu kwa gamble mbaya kama ya Dybala.Tusidanganyane ,man hawajashindwa mshahara , ila dyabala anawadengulia huku anapandisha dau, man u ndio wakaona wachomoe
Mbona majuzi walivyo tolewa na hendo ndo team ikakaa sawa?
Hujo fabinho mkabaji tu hata ku tan na mpira hawezi wala msimzidishie sifa.
Mwchi na city kipindi cha pile Gini alirudishwa namba sita hali ikawa waalau kidogo akatolewa Fabi baadae Hendo ndo tea ikawa sawa kabsaa city wakawa wakabaji.