Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Utabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20

1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs

6) Chelsea
Ktk utabiri wako naomba ufanye marekebisho kidogo huyo aliepo namba 2 mhamishie namba 4,na huyo aliyepo namba4 mhamishie namba3.
 
Ktk utabiri wako naomba ufanye marekebisho kidogo huyo aliepo namba 2 mhamishie namba 4,na huyo aliyepo namba4 mhamishie namba3.
Bado Arsenal tunahitaji chemistry hasa upande wa back line, uongoz unaondoa deadwoods , hivo malengo ya msimu huu ni top 4 , hivo bado inabidi tuwape nafas liver na man city ,walishapitia hizo transition period , ni ngumu kutoka hapo namba 1 na 2 , labda kuanzia msimu wa 2020/2021
 
Utabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20

1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs

6) Chelsea
Arsenal alikuwa anaingia top four kwa sababu ya Wenger. Sasa Wenger hayupo kwa hiyo Arsenal rudisha namba 6 na Man U kati ya sajiri zote usajiri wa Wana Bissaka ndo usajiri utakaozaa matunda kwa hiyo Man U rudisha namba 5. Eriksen akibaki namba 4 ni ya Tottenham. Watatu waliobaki watagombania ubingwa
 
Mpira una matokeo ya uwanjani, haina vitu vya kijinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…