Wote tulikuwa vizuri mkuuHaikua rahisi sema tulikua vizuri lakini mwenzetu alikua vizuri zaidi.
Jamani issue ya coutinho kurudi liverpool kwangu mimi naona ni safi na nzuri, maana bado anatufaa.
Tujifunze kusahau na kusamehe. Tena tunataka kupewa kwa mkopo, mchezaji tuliyemuuza kwa 142£ miezi 18 iliyopita. Klopp afunge masikia asisikie la mtu, cou bado anatufaa.
naunga mikono na miguu kwa pamoja yes coutinho arudi atatufaa sana tuJamani issue ya coutinho kurudi liverpool kwangu mimi naona ni safi na nzuri, maana bado anatufaa.
Tujifunze kusahau na kusamehe. Tena tunataka kupewa kwa mkopo, mchezaji tuliyemuuza kwa 142£ miezi 18 iliyopita. Klopp afunge masikia asisikie la mtu, cou bado anatufaa.
Jamani issue ya coutinho kurudi liverpool kwangu mimi naona ni safi na nzuri, maana bado anatufaa.
Tujifunze kusahau na kusamehe. Tena tunataka kupewa kwa mkopo, mchezaji tuliyemuuza kwa 142£ miezi 18 iliyopita. Klopp afunge masikia asisikie la mtu, cou bado anatufaa.
NO!!!!!!!Jamani issue ya coutinho kurudi liverpool kwangu mimi naona ni safi na nzuri, maana bado anatufaa.
Tujifunze kusahau na kusamehe. Tena tunataka kupewa kwa mkopo, mchezaji tuliyemuuza kwa 142£ miezi 18 iliyopita. Klopp afunge masikia asisikie la mtu, cou bado anatufaa.
Acha ushabiki , unaijua man city kila namba ina backup yake ambayo ni hatari?Ubingwa upo ondoa hofu, hao man city nao wameanza kuchoka, soka la sasa linataka damu changa
Nakumbuka alisema dream yake ni kucheza Barcelona, akafikia mpaka hatuaakawa anajiliza kama mtoto mdogo ili aondoke hahahahahahahaha Agombanie namba hukohuko yeye si fundi wa mpira.Liverpool are working on bringing back Philippe Coutinho to Anfield. The Reds have tabled a two year loan deal with an option to buy set at £88M. The midfielder has given his approval on the move. View attachment 1154596
Aseno hamna backup?Acha ushabiki , unaijua man city kila namba ina backup yake ambayo ni hatari?