Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo wewe unaongeaga tu bila kujua unachoandika Lampard anaeza fanya makubwa kuliko unavyotarajia mkuu.
 
Sasa nimeanza kuelewa sababu ya Klopp kutoharakia usajili, vijana wamacheza mpira mzuri sana.Kuna Ki Jana Hoever, Louruci,Brewster, Nathaniel Philips wameonyesha viwango bora sana.
Izo gemu zisikupe kichwa mkuu, ivo kushinda shinda ata arsenal anashindaga sana.
 
Sasa mkuu unadhani Giroud ni Origi wangapi? Acha kufananisha bingwa wa kombe la dunia na uyo msaliti aliyekana taifa lake..
hivi ndio alicheza kombe la dunia kwao na hakufunga hata goli vile...au niambie mchango wake ulikua upi kulichukua hilo kombe...

Origi aliwamaliza Barcelona ambao uliwasapoti akaja pia akawazima Spurs ambao pia uliwasapoti..
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…