Hahaha,nimekuelewa mkuu,ila usitarajie Klopp kufanya usajili mkubwa,ameshaweka wazi kumpandisha Brewster.Na pia tarajia kuwaona kama ingizo jipya katika kikosi cha kwanza; Ki Jana, Adam Lewis, Curtis Jones na Nat Philips.Mkuu nakukumbusha tu hao tunaocheza nao ni Tranmere Rovers na hiyo mechi ni Friend game .
Mkuu this kids wako vizur nime enjoy game sana especially yale mawasiliano kati ya brewster na hary wilson.. zile first touch za origi but hii game vs tranmere rovers isitupoteze lengo kwamba we have to get new players.Sasa nimeanza kuelewa sababu ya Klopp kutoharakia usajili, vijana wamacheza mpira mzuri sana.Kuna Ki Jana Hoever, Louruci,Brewster, Nathaniel Philips wameonyesha viwango bora sana.
BrewerNgoja tutumie hawa waliopo sasa bado wana nguvu, usajili mwingine tutasijili January ikiwa watakata upepo hawa machaliii
Msidanganyike na hivyo vitimu , EPL kuna timu ngumu sana (wolves, Westham, Leicester, Everton not even to mention Big Six)Timu iliyokuwepo, ukichanganya na wababe wetu, binafsi naanza kuona kusajili wengine ni anasa, na matumizi mabaya ya rasilimali watu
Mafanikio huleta majivuno ndio ninachokiona kwa KloppAnother 16years old
Sasa mkuu unadhani Giroud ni Origi wangapi? Acha kufananisha bingwa wa kombe la dunia na uyo msaliti aliyekana taifa lake..anza kumuuza Giroud ndio tujadili...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chini ya Lampard usitegemee kupata chochote mkuuHuu mdomo tar 14 utaisha tu
hahaha saivi sioni Liverpool ya kuifunga Chelsea.Huyo ni kama kenge haelewagi hadi damu zitoke
uyo Origi ana pafom mechi moja moja ndo unamfananisha na machine kama Giroud au Cheek?? Acha masikhara mkuu.. kumpa Origi mkataba ni worst desicion..Siku zote nilikuwa nawatafuta wanaotazama mpira LiveScore kumbe ndiyo wewe?
Kama humjui Origi basi kawaulize Barcelona na Spurs.
Origi > Odoi + Loftus-Cheek + Giroud