Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani plan iliyopo ni kuwatumia kwenye kombe la EFL ili wapate changamoto za wachezaji wakubwa
 
Kwa Manure anakula £200K huyo kama Rashford anavyokula Mpunga mrefu kuliko Mo Salah na Bernardo Silva [emoji23] [emoji23][emoji23]
Wale Mishahara mikubwa halafu hamna kitu

King Ngwaba wamempa ngapi Origi?
 
Nadhani plan iliyopo ni kuwatumia kwenye kombe la EFL ili wapate changamoto za wachezaji wakubwa

Hata wakishapata hizo changamoto kutoka kwa Wakubwa Man City tayari ameshabeba Kombe.

Nadhani umeshaona alivyokiboresha kikosi chake Msimu huu kwa ajili ya kupambana Msimu huuhuu! Wakati sisi tunaboresha watoto kwa ajili ya Misimu Mitatu ijayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…