Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5675.JPG
 
Man, its that time again.

My hero, My number 9, My El Nino, My Boy Fernando Jose Torres Sanz is retiring from football.

Yes, i was a LFC fan when he joined us in 2007, but to be honest, mapenzi yangu kwa LFC yaliongezeka zaidi jamaa alivyo-sign. It wasnt just for me, but kwa majority ya LFC fans around the world, he was like a Messiah, you know sijawahi kuona mchezaji akiwa connected na fans (ukiachana na SG) zaidi ya Torres at LFC, he was so loved man, hence his departure was so hard to endure man, it was so painful man, not because he was joining Chelsea, but it was that love/connection ambayo ilituvunja sana mioyo, kabla ya Torres tulishashuhudia players like Owen/Mcmanaman/Alonso/Masch etc wakiondoka wakati tunawahitaji zaidi, but it didnt hurt kama kwa Torres, though his departure ilitufanya tuwe sugu, because personally, sijawahi kuumizwa na departure ya mchezaji yeyote baada ya Torres, because at time, nilijufunza kuwa players will always move clubs, ndiyo maana kuondoka kwa Suarez/Sterling/Coutinho/Can niliona ni part of the game, and nikajifunza kuwa, we shouldnt be complaining/crying wachezaji wakiondoka, instead we should put pressure kwa club ku-sign good replacements. and thats how it should be.

Man, personally, Torres was the best ST to ever played for LFC, i know kuna a lot of legendary STs at the club, but in my own view, he was the best, and on top of that, My favorite.

amekuwa na good career as a footballer, kwenye ngazi ya club na international level. i wish him nothing but the best kwenye safari yake mpya.

"OOOH MY GOODNESS, BEST NUMBER 9 IN THE LEAGUE DOING WHAT HE DOES BEST.......RIPPING DEFENDERS APART AND SCORING GOALS"

Ilikuwa ni Sauti ya kinyonge kutoka kwa commentator, Martin Tyler baada ya Vidic kuwa bodied na El Nino wakati akisawazisha goal on 28th-minute at OLD TRAFFORD, infront of bitter United fans. Man, it was a sweet Saturday Afternoon.



MY LEGEND.
View attachment 1133991

Hii mechi mpaka leo nakumbuka ilinipa mchuchu, niliiangalizia kulikuwa na banda moja pembeni ya Sansiro Sinza.

Kulikuwa na jamaa anaonesha mpira pale.

Old good days.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom