Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5706.JPG
 
Do you mean in the next 29 games Mo Salah will fail to get 12 goals?? I don't believe so...

Duh mzee kwamba Salah kupata goli 11 ndani ya mechi 29 hana uwezo huo duuh!!!
Ifike hatua ukibali tu kua Statistically Salah is better hata kama unampenda Suarez.

Ni Joking tu Mzee baba! Mo Salah will score more than 20 goals kwenye next 39 games.. Nasisitiza kuwa atafunga goli 20+ kwenye michezo 39 ijayo ya EPL unless something wrong itokezee.

But kwenye Assists Suarez was better than all of them! He was genius
 
Ha ha ha ha...hapo sawa.
Kwa assist Suarez ni noma sana among the three.
 
Samahani kuuliza...
Hivi serikali yetu inatumia vipi kuja kwa hawa wachezaji katika mbuga zetu kutalii katika kuutangaza utalii wetu kimataifa?
Maana naona katika kipindi hiki cha karibuni wanakuja wengi sana.

Ila yote kwa yote bado tuko pamoja na nafatilia kwa ukaribu jinsi usajili unavyokwenda pamoja na maoni mbalimbali ya wadau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom