Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dude usijifanye unanijua. Ioneshe forum post 2 tu za kuiponda LFC nilizowahi kuandika humu. Kunihusisha mimi na huyo mnayemwita PAIN KILLER huo ni uzwazwa. Ndio ni uzwazwa ukikasirika poa tu. Mimi nina ID yangu hii na inapost zake kadha wa kadha humu JF. Unafiki wangu ni nini?

Ukishindwa kuonesha wewe ndio mnafiki na kujifanya unajua sana.Nioneshe hizo post otherwise wewe ndiye mnafiki maluuni kujifanya unajua kila mtu na kila kitu.
 
Manchester City and Manchester United are set to go head to head for Harry Maguire now that England's Nations League campaign is over, Sky Sports News understands.

I rate this boy highly than De Ligit...

Maguire ni average CB but anakuwa Hyped tu na English Media.

De Ligt ni very talented Young CB.
 
Hawa Palace bhana! Zaha wanataka £90m, Wan Bissaka wanataka £60m.
Yani wachezaji wawili wanaotaka kuwauza wanataka wapate hela ya Usajili ya Miaka 5 ijayo
 
Maguire ni average CB but anakuwa Hyped tu na English Media.

De Ligt ni very talented Young CB.
aisee hua namuangalia sana huyu ndogo japo waingereza kwa hype ndio wenyewe kwa £60m is good business...

kwetu ni ngumu kuja sioni Klopp akitoa hio pesa kununua beki ghali dirisha hili..

upo uwezekano akapandisha academy players baada ya kuridhishwa na maedeleo ya TAA...
 
Kama tunampata Werner itakuwa bonge la usajili , nimemcheki aisee yule Timo Werner ni Winger ya ukweli na bonge la team player. Tumpate huyo halafu Mane awe anatokea eneo la namba tisa hivi,

Bayern wakimpata Werner ni shida inaongezeka. Na najua Bayern watareact baada ya kuona usajili wa kutisha uliofanywa na Real Madrid. Sasa tuzichange vizuri, kuongeza nguvu pale Mbele na kiungo.


Halafu Firmino apige kiungo au Winger, na kama huyo Pepe atakuja awe anatokea Sub
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…