Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa mbona sijaona TRENT maana jezi namba 66 ni kubwa mno.
LIVERPOOL WACHEZAJI KADHAA KUBADIRISHA NAMBA ZA JEZI WAVAAZO SASA MSIMU HUU 2019/20

>>Hii itaonekana kwenye siku ya Ijumaa ambapo Wachezaji hao watatambulisha Jezi Mpya za kufanyia Mazoezi(training Kit) na namba zao hizo Mpya.

Allison.
Hii ilisemwa Msimu uliopita kua Kipa huyu atabadirisha namba kutoka 13 kuja namba 1,hii bado kdg haijawa wazi kwa sasa.

Ox.
Ox yeye sasa atatoka kwenye jezi nambari 21 kuja valia jezi nambari 15 ambayo inaachwa Na Danny Sturridge baada ya kumaliza Mkataba wake.

Fabinho.
Mbrazil huyu atabadirisha nambari ya jezi yake kutoka nambari 3 kuja valia nambari 2 itakayoachwa na Nathaniel Clyne.

Andy Robertson.
Huyu atatoka kwenye nambari 26 anayovalia sasa Na kuvalia jezi itakayoachwa na Fabinho,jezi nambari 3.

>>Hayo ndio MABADILIKO KADHAA ya Jezi namba yatakayofanyika MSIMU huu.
 
Uyu jamaa ataboronga Sana Afcon ..apo ndo utakapoonekana ubovu wake..

Anaogopa kuumia,maana kuna watu wanataka kutoka kwa kumkaba mane yaani wanakukamia mpaka unashangaa mpira mbona Sio ugomvi.

Sio huyo tu wengi tu hawata onekana.ila kwenye kundi walipo hakuna wakumzuia huyo kwenye makundi wanavuka.ila kingine hao senegal mpaka wana fuzu kwenye hiyo afcon.naweza kusema mane ndio amewapeleka.

Mechi ya mwisho aliingia dak71, huku senegal wakiwa wamefungwa 1 bila,alianza kupangua beki akatia la kwanza la pili akassist,Senegal wakafuzu.
 
IMG_5473.JPG
 
Ni Vizuri akaondoka ili kupisha kizazi kingine. Sisi huwa tunatengeneza malegendary wanaobeba/waliobeba makombe..

Sisi sio Liverpool mkuu.
hahaha ni ngumu sana kuifananisha Liverpool na Chelsea ndugu na hujakosea kabisa nyie sio Liverpool...mkisogea angalau mpate UCL 4 ndio tutakua tunazungumza lugha moja...
 
Sasa mbona sijaona TRENT maana jezi namba 66 ni kubwa mno.

Yani huyo na hilo namba ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kabisa kubadilishiwa namba,lakini mpaka sasa hakuna dalili zozote. Msimu ujao utakuta anabaki na linamba hilo hilo.
 
definetly our player of the season contender for th front three...his energy, tricks, skills, just still keeping better n better...

cant lose this now when we are just getting better as a unit
Man, what can i say about SADIO MANE?????


HE'S A WARRIOR

God knows, how much i like this Baller.

so proud, he's of our kind.

he was the stand-out, AS ALWAYS.

STOOD OUT IN KIEV, AND DID THE SAME THING IN MADRID.

WORLD CLASS BALLER.


DEFINITION OF A FIGHTER.


I JUST LOVE HIM.
 
Y'all remember when, ECHO told the world kuwa Solanke and Ings were better than ORIGI?

Man, am laughing so hard, right now.

i love Torres a lot, but think Origi legacy at LFC is bigger than ya Torres na Suarez, and i'm not even joking, we can discuss about this mpaka mwisho wa mwaka.

Torres and Suarez, delivered, but just Top 4s, and Suarez delivered Capital Cup (Carabao), but Origi delivered kombe la CL, can be a joke, but its just real man.

dude had 3 shots, and zote zikawa magoal, his 2 crucial goals vs Barca and his most memorable and biggest goal in his career and one of the biggest goal in LFC history was against Spurs in the final.


and just, look the way he celebrated man, hahaha kama kafunga against Fulham or something. ICE COLD KILLER, it was just another day for him.

was somewhere watching the game, when the Origi scored, after the celebration i jumped into the counter and started to scream, THATS IS MY NEIGHBOURRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR, MY KENYAN BOYYYYYYYYYYYYYYYYYY. people were like, dude get off there, we're still watching the game. tell you what, i lost my glasses aswell because the celebration didnt end there hahaha, mambo ya kukabidhiwa kombe nilikuja kuyaona kesho yake jioni kabisa, so glad i'm still alive, lost it compeletely. This club man, will be the end of me.


cant even imagine, the day we win the EPL. THE SCEENESSSSSSS WILL BE UNBEARABLE.
whats more interesting there ws interest almost from Crystal Palace n other few teams in Jan...Klopp stood his ground n here we are wt our hero vs Barca n the final vs Spurs...

now here he is getting a new contract n his name already printed as a Liverpool Great...whats a season he has had...

patience pays.
 
Bobby Firmino, wasnt fit at all.

kama ilivyokuwa kwa Harry Kane, they werent fit for the final kwasababu ya Injury.


but, you know what, Klopp subbed so early, and that was the turning Point.

My alcoholic NAZI, really wanted this trophy man, kulikuwa hakuna room ya sentiments this time.

That sub was very important, pamoja na ile ya Milner.
Hahaha Nazi guy...i.like that one...

Surely we all know Bobby when fit is irreplaceable in our squad bt his couldnt shake his injury in tym n be fit 100% for the final...

lets hope he come back fit for the new season...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom