NYAMAGANA NJEMA
Member
- Jan 20, 2019
- 47
- 45
Needs also to pack up his things n go where he thinks may fit.Lovren?
Needs also to pack up his things n go where he thinks may fit.Lovren?
The sameMchezaji ninayempenda zaidi kwa sasa ni Keita huniambii chochote kwake nikakuelewa
Swali linakuja Je huyu Lovren na anavopendwa na Klopp plus na mshahara huo tunaomlipa wa £90,000 kwa wiki Club gani ya kumpokea wakamlipa huo mshahara maana wachezaji wa Big Clubs kutoka factor ya kwanza inayosumbua huwa ni mshahara, huwa wanaona ni bora wawe benchi ilimradi mishahara hiyo minono ipo
Keita mchezaji mzuri lakini Klopp kwa ubaguzi wake amemfanya bench warmer ..nadhani msimu huu unaoanza anaeza akaondoka tu.
Lovren hata akae Bench Msimu mzima bila ya kucheza Mechi hata 1 basi hawezi kudai kuondoka ata Siku moja! Atahiari akae bench mpaka mkataba wake umalize kama Markovic au Lallana halafu aondoke free.
Coz anajua wazi kuwa ukitoa Liverpool hakuna timu nyengine yoyote ya Top 6 inayoweza kumtaka kumnunua na kumpa uhakika wa kucheza.
Akiondoka Liverpool basi aende Italy kwa kina Lazio, Au amfuate Gerrard Scotland, au abakie EPL aende Midtable Teams kina Southampton na Wolverhampton.
Mbona wanamchelesha kwann hasiondoke leo