Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LIVERPOOL WACHEZAJI KADHAA KUBADIRISHA NAMBA ZA JEZI WAVAAZO SASA MSIMU HUU 2019/20

>>Hii itaonekana kwenye siku ya Ijumaa ambapo Wachezaji hao watatambulisha Jezi Mpya za kufanyia Mazoezi(training Kit) na namba zao hizo Mpya.

Allison.
Hii ilisemwa Msimu uliopita kua Kipa huyu atabadirisha namba kutoka 13 kuja namba 1,hii bado kdg haijawa wazi kwa sasa.

Ox.
Ox yeye sasa atatoka kwenye jezi nambari 21 kuja valia jezi nambari 15 ambayo inaachwa Na Danny Sturridge baada ya kumaliza Mkataba wake.

Fabinho.
Mbrazil huyu atabadirisha nambari ya jezi yake kutoka nambari 3 kuja valia nambari 2 itakayoachwa na Nathaniel Clyne.

Andy Robertson.
Huyu atatoka kwenye nambari 26 anayovalia sasa Na kuvalia jezi itakayoachwa na Fabinho,jezi nambari 3.

>>Hayo ndio MABADILIKO KADHAA ya Jezi namba yatakayofanyika MSIMU huu.
 
Hivi Fabinho kwa nini asichukue jezi ya kiungo badala ya kung'ang'ania jezi za mabeki?
 
I do not have any problem na Lovren
Kacheza mechi nyingi tu ngumu na kufanya vyema
Hata UCL hii kuna mkono wake
Kacheza mechi zote bili vyema na Porto
Kacheza vyema na Bayern Munich
 
IMG_5465.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom