Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unajua sisi ambao tuna access na internet na tunatembelea mitandao mbali mbali ya nje utakuta hawa jamaa hawana kitu kipya cha kutushangaza.

Ila kuna watu ambao hawatembelei huko kwa sababu ya lugha au access wanawategemea hawa kama wachambuzi na wanawaelewa.

Ila wewe utajikuta wanachambua kitu ambacho tayari unakijua, na unaona wako shallow kwa sababu wamekopi ulikosoma.
hahaha kaka i salute you...hapo nakumbali 100 kwa 100 upo sahihi..pamoja sana..fingers crossed.
 
TRANSFERS - Liverpool

Leaving 01-07-2019
Alberto Moreno (Without Club) ?
Daniel Sturridge (Without Club) ?
Moreno likely kwenda Lazio au kwao Spain bado anahitajika...

Daniel th dancer nae hakosi timu huyu ishu akumbali mshahara ushuke..

Matip na Milner wanaongezewa mkataba😎🤗🤗...

Sielewi Lallana, Lovren wameachwa mpaka lininau mpaka atokee mteja kwa vile wapo ndani ya mkataba...
 
Dah nimemisi yale maneno.....
Klopp sio kocha wa makombe.......Wazee wa ukame........Livakuku.........Wazee wa Next Season njooni tumewamisi sana.
hahaha Klopp silence his critics tangu Jmosi mambo ni powaaa sanaaaa..wanaomponda kwa kukosaga vikombe ujue ni vichwa maji winning UCL is every Manager dream..CV yake sasa inakwenda kua shaded na EPL medal come new season...
 
The kops mwenye picha japo moja ya Joel Matip akiwa ameshika kombe aitupie basi.

Screenshot_20190605-003712.jpg
 
ndugu Honestty mpo serious kumhitaji £180m Salah au mnatuvuruga aisee
Hehe..mkuu sis tupo yuropa huku na salah hawez kuja kucheza alhamic kwa status yake saiv,,,Man u ni biggest unit incase of rumazi, kila mchezaji ambay ni top performer kweny club na ligi yake, tutasikia na united wapo interested...hlf ni kama vile united kawa daraja la kupandia mishahara kwa wachezaji wengi sana
 
Moreno likely kwenda Lazio au kwao Spain bado anahitajika...

Daniel th dancer nae hakosi timu huyu ishu akumbali mshahara ushuke..

Matip na Milner wanaongezewa mkataba😎🤗🤗...

Sielewi Lallana, Lovren wameachwa mpaka lininau mpaka atokee mteja kwa vile wapo ndani ya mkataba...

Matip anahitaji New Contract (4 Year)
Milner needs one more year Contract

Lovren & Lallan must leave
 
Hehe..mkuu sis tupo yuropa huku na salah hawez kuja kucheza alhamic kwa status yake saiv,,,Man u ni biggest unit incase of rumazi, kila mchezaji ambay ni top performer kweny club na ligi yake, tutasikia na united wapo interested...hlf ni kama vile united kawa daraja la kupandia mishahara kwa wachezaji wengi sana
hapo nimekusoma, Ole kwanza awatimue hao wenye mishahara na ma bonous kama yote ili ku stabilize na kuleta harmony dressing room...kama Sanchez duu ndogo anawakamua...

huyu Salah naona labda PSG, Juve au Real ndio wana huo uwezo wa mshiko na kumpa Champions league kwa sasa...

Binafsi kama ameona he is done kua na Wababe wa Europe bora aodoke tu japo nayo.magezeti kwa sasa ni full kutulisha habari za ajabu ajabu..Klopp alisema hategemei kupoteza any major player this summer unless atake mchezaji mwenyewe na kwa valuation sahihi ya mchezaji..

hilo la Manu nadhani alivyosema Van Gaal kwamba Woodward has zero understanding on football ni sahihi kabisa ukizingatia yeye alikua banker hivyo inafaa mpate mtu mbadala kama wa kuhandle mambo na Woodward ahandle commercial side..
 
Matip anahitaji New Contract (4 Year)
Milner needs one more year Contract

Lovren & Lallan must leave
if we want to land the Holy Grail (EPL) next term, we seriously need to streamline our team very shrewdly; and these are my thoughts......

1) buy a Matthijs de Ligt:
to partner with or even occasionally relieve VVD. VVD has been playing just too many games for my liking (am afraid a burn-out could impede his career prematurely - so the gaffer must do everything possible to try protect him).

2) buy a Ryan Sessegnon:
a more than able back-up to Robbo. obviously!

3) buy a Christian Eriksen:
I think it's common knowledge to all of us in here that a creative & goal scoring offensive midfielder was our biggest "missing piece in the jigsaw puzzle" throughout the just ended season. so let's fix it.

4) keep Lovren, I mean largely for domestic cup competitions because next term we MUST aim for no less than a DOUBLE (one of these must be an EPL)

5) Lallana, Clyne & Grujić should follow Moreno & Sturridge towards the exit door. I like Grujić but I have a gut feeling it may take quite a bit more time for him to be able to adapt to Klopp's playing style.

there's no reason why we shouldn't be able to spend another 100-150M quid as our earnings have been one of the biggest (if not the biggest).
also, with the "Old Big Ears" (UCL trophy) nicely stacked up in one of those Anfield cabinets, we should surely be looking forward to significant revenue generation from commercial deals globally.

let's enjoy the moment as it lasts but in the meantime brace ourselves up for some dynasty in the offing.

am still celebrating sleeplessly!!!
 
Unajua sisi ambao tuna access na internet na tunatembelea mitandao mbali mbali ya nje utakuta hawa jamaa hawana kitu kipya cha kutushangaza.

Ila kuna watu ambao hawatembelei huko kwa sababu ya lugha au access wanawategemea hawa kama wachambuzi na wanawaelewa.

Ila wewe utajikuta wanachambua kitu ambacho tayari unakijua, na unaona wako shallow kwa sababu wamekopi ulikosoma.
daaaaaaahhhh aiseeeh umeongea bonge la point hapa...lakuongeza kwa hapa ni kwamba kukua kwa teknolojia ya habari na mawasiliano nchini kumechangia kwa kiasi kikubwa sana kushuka hadhi kwa hawa wachambuzi wakibongo na waandishi makanjanja mfano yule SALEHE JEMBE na SHAFFIH DAUDA na hii imepelekea mpaka biashara ya magazeti kushuka kwa kiasi kikubwa sana,kwa mfano mwanaspoti na championi habari za kimataifa wanazoziandika mule zote wanazitafsiri kutoka BBC SPORTS........yaani kama wewe ni mtu wa kupitiapitia mitandaoni huwezi kusikiliza vipindi vyao vya michezo na kununua magazeti ya kibongo maana hawana jipya
 
Kabisa, mimi kabla ya smartphones Mwanasport Jumanne na Jumamosi lilikuwa halinipiti.

Sasa nina zaidi ya miaka 6 sijalinunua, maana taarifa za ndani nazipata humu JF, za nje mitandao imejaa. Kiasi kwamba huoni jipya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom