everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Hata Mimi mpka nikaanza sikia usingizi yaani mpira umepoa sana sijui kama nitaumaliza.Hii fainal naiona kama haina mvuto sana
Hata Mimi mpka nikaanza sikia usingizi yaani mpira umepoa sana sijui kama nitaumaliza.Hii fainal naiona kama haina mvuto sana
Kweli mkuu. Game imepoa kama sio fainal bhana. Ngoja tuone kipindi cha pili.Hata hivyo spurs walisha ridhika na kufika final.
Ile Liverpool vs Barca sijaiona hapa.
Wala Spurs Vs Ajax
Malizia tu.Hata Mimi mpka nikaanza sikia usingizi yaani mpira umepoa sana sijui kama nitaumaliza.
Ngoja tuoneMalizia tu.
Inaweza badilika 2nd half
Hapo sawa.Ngoja tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja tuone itakavyo kuwa..Tuelewe kipi[emoji23][emoji23]ulicho bold au hicho kingine?
Unatuchanganya.
Mbona kazi imeishaLiverpool kama hali itaendelea hivi basi hili kombe huenda likawa sio lenu. Tottenham kazi kwenu