Watakuwa na mkosi aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi kama Kuna kitu kitatokea cha ajabu tusichotazamia wengi!!
Watakuwa na mkosi aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi kama Kuna kitu kitatokea cha ajabu tusichotazamia wengi!!
Mkuu usiongelee mambo ya nyumbani huku ugenini jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo wewe na cute b mmeamua kukimbia jukwaa lenu?? Nawaona kwenye majukwaa mengine tu!!
Miss you sana!!!!
Umebet nini???Klopp kapoteza six finals. Jamaa ana gundu fulani. Leo akipoteza tutakufa wengi.
Charity begins at home[emoji3]Mkuu usiongelee mambo ya nyumbani huku ugenini jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Msaga sumu za siku mingi?Umebet nini???
[emoji3] [emoji3]Hahahaha mwaka huu unazi umetushinda tumekuwa Karanga tu hahahaha!!!
Yaani upo mguu nje mguu ndani...ila kubwa unatamani tufungweKama vile naona mnavyobana nanilii ili wasirudishe hilo goli[emoji23][emoji23][emoji23]wengine mnatamani ndiyo ingekuwa dakika ya 90.
Njema nkamu,Tupo tunawasindikiza YNWAMsaga sumu za siku mingi?
Tumeisha anza party huku Ikwiriri
Hahahaha!!![emoji3] [emoji3]
If you can't beat them join them!!!!
Popote kombe litakoenda poa tu angalau England nayo ionekane UEFA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Charity begins at home[emoji3]
Ngoja ninyamaze tusije kufukuzwa kwa watu!!!