Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Bora ulipie kabisa, nisije nikaolewa bure.
Nipe namba ya Mangi hapo.
Bora ulipie kabisa, nisije nikaolewa bure.
Nipo hapa nashangilia ushindi.Urudi game ikiisha![]()
Kama kawaida yako unasoma upepo! Tukishinda hutomeza kauli zako! Tukifungwa unatuchenjia.





Katika siku ambazo mhindi atapiga hera ni leo coz kila mtu amebet na amempa ushindi Liverpool,bila bila shaka kesho kutakuwa na msiba mkubwa sana.


ila atashinda.Pilipili hoho au mwendokasi !????Leo liverpool ikishinda nitakula kilo kumi za pilipili,
Aksante.
Akijibu nitag mkuuKwanini usiseme utajifanya Amber Ruthy?
Supersport 10&3Wadau mbona swala langu sipatiwi majibu au wote hatufahamu?
You will never walk aloneLiverpool family
Bado masaa mawili tu tuanze game
Spurs tuna waweza!
In Klopp we trust!