nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,492
- 11,193
Leo liverpool ikishinda nitakula kilo kumi za pilipili,
Aksante.
Aksante.
Boys hawata tuangusha leo watatupigania mpaka mwishoMkuu usijipe shida, hili kombe tulishamalizana nalo toka Barca alivyopigwa goli la 4.
Hawa Tottenham hawana chao, game ilisha isha hii.
Boys hawata tuangusha leo watatupigania mpaka mwisho
Hahahahahahahahah Man unanipa Confidence kubwa sanaKati ya mechi ambazo hata sijiulizi itakuwaje ni hizi.
Siyo kwamba namdharau Tottenham, ila najua huu muziki ni mkubwa kwake.
Natamani tungekutana super cup nikuonyeshe mpira mbovu sema ndio ivyo tena haitawezekana.Kubali kataa siku ile mlicheza mpira mbovu sanaaaa yaan kama walevi na hata Arsenal wangetulia pale golin kwenu wangeliweza kufanya comeback sema wao wenyewe ni mazwazwa
Hahahahahahahahah Man unanipa Confidence kubwa sana
Utakipata naona zile mbil za EPL hazijakuingieni vzrNatamani tungekutana super cup nikuonyeshe mpira mbovu sema ndio ivyo tena haitawezekana.
Hahaaa... Ngoja tukutane kwenye ligi ili ziniingie vizuri. Super cup hamuwezi kufuzu.
Nawasubiri na leo mchukue kikombe chenu cha chai
EPL,FA, EUROPA na UEFA sio MAKOMBE madogo