Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,061
Katika pitapita zangu mitandaoni,kuna mchezaji m1 nimemwona, anacheza ligi ya marekani kwenye klabu ya DC, club anayocheza pia Rooney. Anaitwa Luciono Acosta. Ni muArgentina. Kwa sasa ana miaka 24. Ni kiungo mshambuliaji. Jamaa yupo vizuri, kwa maoni yangu huyu angetufaa. Naamini hata bei yake haitakuwa kubwa na pia hawezi kukataa kuja kucheza ligi kuu ya england.