Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwani huyo poch amemfunga klop Mara ngapi na alishabeba nini tangu umjue!??
Tatizo kloop umemjulia liverpool, kijana usipende league ambazo huwezi

Uliangalia game la europa final klop na sevilla ?

Je final na madrid?

Utagundua kitu, kama unafuatilia soka
 
Tatizo kloop umemjulia liverpool, kijana usipende league ambazo huwezi

Uliangalia game la europa final klop na sevilla ?

Je final na madrid?

Utagundua kitu, kama unafuatilia soka
Klopp ni kama ana mkosi wake wa Asili kabsa. Kuna mkosi unamla taratibu.....ila sidhani hii fainali kama Klopp hatabeba hili kombe. Kwenye mpira lolote linatokea!!
 
Tutafia uwanjani, Tukishinda kuna sherehe nimeandaa ,hapa dar
Ushafunga vifaa mkuu.?
tapatalk_jpeg_1558931053383.jpeg
 
NASIKITIKA KUTANGAZA KWAMBA SISI FAN BOYS WOTE WA LONDON TUTAUNGANA KUHAKIKISHA TOTTENHAM SPURS ANALETA UEFA NDANI YA LONDON KWA MARA NYINGINE. KHABARI HIZI ZIWAFIKIE WALE WALIOKUWA MAMLUKI WA ARSENAL KWAMBA KHALI ZAO ZITAKUWA MBAYA ZAIDI PALE SPURS ATAKAPO FANYA TULICHOFANYA SISI APO BAKU. KING NGWABA NA WENZAKO WOTE MTAMBUE KWAMBA SARRI ANA KOMBE MOJA KUBWA NDANI YA EPL WAKATI KLOPP MPAKA SASA ANARUKA RUKA TU ..TOTTENHAM ATAFANYA KITU AMBACHP SISI KAKA ZAO TUMEKIFANYA JANA.

London will be Blue and White
 
Southern Highland, Kimaro, Ollachuga Oc hongereni sana kwa ushindi wa jana...bila shaka super cup tunakutane na nyinyi.
 
Klopp ni kama ana mkosi wake wa Asili kabsa. Kuna mkosi unamla taratibu.....ila sidhani hii fainali kama Klopp hatabeba hili kombe. Kwenye mpira lolote linatokea!!
fainali hua ni mbinu za kocha na kisha wachezaji wazifanyie kazi hopefully Klopp mbinu zake this tym zitafanikiwa cz we damn deserve this kubwa lao cup.
 
NASIKITIKA KUTANGAZA KWAMBA SISI FAN BOYS WOTE WA LONDON TUTAUNGANA KUHAKIKISHA TOTTENHAM SPURS ANALETA UEFA NDANI YA LONDON KWA MARA NYINGINE. KHABARI HIZI ZIWAFIKIE WALE WALIOKUWA MAMLUKI WA ARSENAL KWAMBA KHALI ZAO ZITAKUWA MBAYA ZAIDI PALE SPURS ATAKAPO FANYA TULICHOFANYA SISI APO BAKU. KING NGWABA NA WENZAKO WOTE MTAMBUE KWAMBA SARRI ANA KOMBE MOJA KUBWA NDANI YA EPL WAKATI KLOPP MPAKA SASA ANARUKA RUKA TU ..TOTTENHAM ATAFANYA KITU AMBACHP SISI KAKA ZAO TUMEKIFANYA JANA.

London will be Blue and White
Pale unapotoka kuvutia bange chooni, unajua kuvuta bange siyo tatizo, tatizo ni kwamba unaivutia wapi?
 
Fainal ya poch ataiona ya ajabu sana...yani klop mapema anamkalisha pochi easer sana,,kama ukileta unyumbu na hoja zako za chini ya kitanda umefel
 
Mkuu umeanza kushangilia mapema kabla ya mechi. Kwa mtazamo wangu navyoona kila mchezaji wa Liverpool wamepania sana lazima warudi na kombe na wameona kabisa wanastahili. Game tuna maliza mapema kabisa kipindi cha kwanza tu.
Vijana wanachonifurahisha wanakaba sana na molali iko juu sana.
Msiende mkiwa na matokeo yenu kichwani,kumbuka ile nifainali,angalieni msije mkaabika,nahisi harufu ya aibu ikiwanyemelea.
 
Klopp ni kama ana mkosi wake wa Asili kabsa. Kuna mkosi unamla taratibu.....ila sidhani hii fainali kama Klopp hatabeba hili kombe. Kwenye mpira lolote linatokea!!
Hii ni fainali yake ya 3 kwenye UCL. dhidi ya Munichi 2014 akiwa na BvB. Mwaka jana akiwa na Reds na mwaka huu pale madrid. Kabla alicheza Europa ligi akiwa na Liverpool kapoteza dhidi ya Sevilla.

This tym, wachezaji Liverpool watacheza kwa ajili ya Liverpool na kwa ajili ya Klopp. Kama ikitokea tukapoteza na hii itakuwa ni ngumu kwao na kwa klopp pia.

Sitegemei tupiteze hii game. Japo mpira unadunda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom