Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Dah! Kwahiyo mshampa mamlaka yote pep
Ndio maana kuna halisi na sisi chipolopolo
Nasikia mna bid kwa de ligt kwa £60mSidhani kama tunaweza kuspend hata £150m this summer..
Kabla sijakujibu swali lako (kusuggest hizo njia nyingine za kuingiza mapato tofauti na kuitumia fan base)Embu suggest wewe ni njia ipi alafu tu discuss
definetly bila kua na wakala makini hizi big league utazisikia hukoo hivyo channel ni muhimu sana...Yah kua proffessional player inahitaji maandalizi ya mapema sana kuanzia damu ikiwa changa, kitu ambach wenzetu wanakiona miaka ya awali sana ya mtoto so anaanza kupikwa....wenzetu wale sera ya michezo ni major priority kweny platform ya national development, sis huku tukiwa na ndege 6 tayar tumeendelea (siyo kwamba ndege zicwepo)
Players wa tz wengi wana limited vision au ni visionless kabsa kuhus career aliyonayo na ndy mana wao kujitafsir ni kua ni bora kati ya wengi, basi awe anacheza yanga, simba na aki-loose sana basi azam na baada ya hapo aachane na soka akalime...unlimited vision kwa player yyt ndy itakayomfanya afikie malengo makubwa...
Tz kuendelea kisoka na ije itoe wachezaji makin kama Mane au Sala au Auba, itachukua miaka sana.
Nb: Ishu ya channel ni muhimu pia mana wapo wachezaji ambao regardless of how potential they are; wakikosa channel, hawawez toka
kila mtu apambane na hali yake, watanunua tu na Kompany ndio kashaodoka hivyo sio rahisi wao kuangalia wengine wanunue wao wabaki kimyaa...dirisha bado sana la usajili hivyo muda upo wa kutosha...vipi kwako mnauza au mnanunua..Pole Mkuu...
Sasa hivi City atapunguza matumizi ya pesa...
Atawaachie nyie tu mspend..!
wewe una akili nyingi jibu unalo ndugu...Akili ndogo sana. Hivi kwa hiyo limited budget yenu mmebebq makombe mangapi?
huyu ndogo Barca au Manu ndio wapo mstari wa mbele sisi wengine tunachungulia mdogo mdogoNasikia mna bid kwa de ligt kwa £60m
he is very verstile can play upfront left or LB...Klopp should hurry n piga chini ofa ya Manu..huyu dogo tumchukue fasta.
chini ya Klopp he'll become a much much much better player than what he currently is.
View attachment 1101809
Guys want to UCL trophy ndio maana hataki utani..he has identified almost all his target sasa ni negotiation zinaedelea kwa baadhi huku wengine akisubiri ligi ziishe...PEP promised £200m oil money this transfer window
Ingawa Kikosi chake kikovyema kuliko kikosi chochote kile cha EPL lakini still anaingia sokoni kama anaanza sasa.
Na sajili zake nyingi huwa hakosei...
Sioni tukitoboa katika kipindi chote PEP atakachokuwa England.
Man u wanapambana tu ila huyu dogo hawez kwenda man u kwasasa ,ni kuua kipaji chake labda afate hela,huyu ndogo Barca au Manu ndio wapo mstari wa mbele sisi wengine tunachungulia mdogo mdogo
kabisa pale atafuata mkwaja tu lakini kujiedeleza kisoka he might get stuck...Man u wanapambana tu ila huyu dogo hawez kwenda man u kwasasa ,ni kuua kipaji chake labda afate hela,
bwana wee kwa sasa ni rumours tu sio confirmed..hata Bayern wanamtaka..tusubiri tuoneJamani Brandt wa bayan levakuzen vip nilisikia kloop anamtaka.
Pep bana is s football wizard maana he always set his bar very high n th players who fail to impress wanasugua benchi case study Sane, Mahrez n.k..Baada ya kuona press ya Pep akisema "We will come more strong than this next season".
Nilipost hii kitu hapa:-
View attachment 1102001
Pep Guardiola huwa yuko very straight, hazungushi maneno.
Anachokisema ana maanisha, itokee kishindwe lakini ni moja ya watu nakubali press zao.
Yani ww ni shabiki wa Liverpool hapo hapo ni shabiki wa pepUwepo wa PEP England ni kukatisha tamaa Timu nyengine! Kweli Sheikh Mansoor ana oil money, Lakini kuwa na Hela sio Hoja! Bali hoja ni PEP mwenyewe! Kwani Mansoor imeanza Kumwaga Pesa Zamani lakini Makocha Wa Kipindi Hicho hawakuwa wazuri kwenye Transfers na Kuboresha Wachezaji! Kwani Hata Sterling kabla ya PEP alikwisha kuwa Garasa. Lakini PEP kambadilisha na Kumboresha.
So, PEP ni kisiki chetu KWA sasa... Kwani Jamaa ana Mentality Moja tu ya Kushinda kila Mchezo wakati sisi Mentality yetu ni Kuwa Mpira una Matokeo matatu! Kushinda, Kudraw na Kupoteza, That is tunahisi si lazima kushinda kila mchezo kwa kikiwekea False Hope ya Kuwa Aliyejuu yetu nayeye atapoteza points. Ridiculous
Hivi kuna kocha anaweza kupewa timu kama man city akafail kweli?
Mafanikio aliyapata pep tangu atue pale, hata watangulizi wake wamefanya hivyo hivyo, matajiri wa city walimleta pep pale kwa lengo la kubeba uefa hayo mengine ni upuuzi tu kwaoMakocha wangapi wamepita?
Mafanikio yao yakoje?
Hiyo timu Pep kaitengeneza au kapewa?