kwa pamoja tunaifanya EPL KUWA LIGI BORA ZAIDI ULIMWENGUNI KWA SASA MAANA KABLA YA MECHI ZA FAINALI HAZIJAPIGWA TAYARI WASHAJIHAKIKISHIA MAKOMBE MATATU KIBINDONI...........
UEFA,EUROPA, na SUPERCUP yaani mimi nafikiria wangewapa kabisa chama cha soka TFF ya england wayahifadhi hayo makombe watawapa wenyewe vijana wao.....
HONGERENI MAJOGOO
HONGERENI SPURS
HONGERENI CHELSEA
HONGERENI WASHIKA BUNDUKI
ila hongera kubwa sana pia ziende LONDON jiji lililoingiza timu 3 katika fainali hizi na mpaka sasa washaanza kupika pilau maana uhakika wa kutua makombe upo..........
kongole kongole kongole..........
Hahahaha sasa mbona unanifanya na Mimi nikuonee huruma!! Relax mtani tutavuka mto tukifika mtoni.....Hahaaaa wallah najioneaga huruma sababu huwa niko so emotional tunapofungwa hasa tukose kombe huwa nalia hasa
Give the boy jersey number 5, then give Gini jersey number 7 and release James Milner to Leeds United.
That boy is a gem at defense.
Dah hii picha imenikumbusha ile tackle ya kimataifa alimpiga Suarez ni mda mrefu sana sijapata kuona DM kama huyu LFCFabinho sina mengi yakumzungumzia ila hii picha inaongea mengi sana View attachment 1092918
NARUDIA TENA BILA UNAFIKI LIVERPOOL MSIMU HUU HAWATA CHUKUA KOMBE HATA LA MBUZI
Come back ni kwa ajiri ya kuwapoza tu hapo jumapili city atakapo chukua epl
Ila unagundu mkuu, kila ukitabiri unachemka, kila hatua tunapitaNARUDIA TENA BILA UNAFIKI LIVERPOOL MSIMU HUU HAWATA CHUKUA KOMBE HATA LA MBUZI
Come back ni kwa ajiri ya kuwapoza tu hapo jumapili city atakapo chukua epl
Weka nilipotabili mkapita,Ila unagundu mkuu, kila ukitabiri unachemka, kila hatua tunapita