Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu wanadai tukichukua kombe tutasumbua mitandaoni sasa nimeanza course lol

Nashkuru Mungu nzuri sijui wewe

Ukweli nimekumiss mtani umepotea sana
Kwa kweli tutakoma!!! Mimi Niko poa mtani season hii imenitenda kama wewe ile 2017 hahahaha!! Nitakuja season nyingine safari hii unatawala wewe!
 
hivi vijibwana mdogo vya Ajax kwa kweli vipo vizuri sana....

but nime notice kuna element fulani ya naivety kwenye play style yao ambayo "heavy metal" inaweza kuwa punish kwa kapu kubwa la magoli!
Kivipi mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…