Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Man, nakumbuka around January or February ulisema TAA is the best RB EPL now, nilikataa kimoyo moyo, nikawa sioni basis za kwa nini awe yeye.
Recently amekuwa na form moja ya ukweli sana, na jana ameendelea kunionesha kwa nini umempa hiyo ranking.
Naendelea kumfatilia aisee, he is a "wonder kid".
Ahaha!! ...Liverpool ya UCL ndy tunayoitambua saivKuna Liverpool ya EPL na Liverpool ya UCL
Nakumbuka Mara Nyingi huwa Nameate higher Huyu dogo lakini kwa kipindi hicho jamaa Walinipinga sana kufikia kumueka Clyne na Milner ahead of him.
Kama utafatilia Vizuri Mechi yoyote ambayo Hajacheza Huyu dogo basi huwa tunasuasua kwenye Matokeo (Ref: Vs Manure and Barca).
Huyu ndiye best creator wetu kwa sasa.
Dogo kwenye kulinda anahitaji Beki Makini tu wa Kucover nafasi Yake pale anaposhambulia.
Game anazoekwa bench huwa naumia sana.
Ni Mchezaji Pekee kwa Sasa ambaye ni Mzalendo anayeiwakilisha Merseyside.
Naamini Huyu ndiye our Future Captain iwapo Majeruhi hayatamtoa Mchezoni.
Shida leo nipo hapa na Nimechaguliwa Kuchukuwa RECAP.
Ushindi umenifanya nimechelewa mpaka kwenye Kikao ikanibi niingilie mlango wa Nyuma. [emoji23] [emoji23][emoji23]
View attachment 1091624
Ubarikiwe kwa iman yako maana ni wachache wanaweza kuamini hivyo hata mimi nilijua tutawafunga ili tusingeweza kuwatoa hawa jamaaMe naamini liverpool, tunapiga COME BACK
I believe in liverpool
Bado kauli hii unaiendeleza au umeifuta?Narudia tena liver pool msimu huu ni ndoto kutwaa taji lolote lile
Haha ila comment ya juu hapo ambayo ni quoted ulipinga hawawez beba llote lileNiliwahi kusema ni rahisi Liverpool kutwaa UCL kuliko EPL
Bado finally mkuu usijisahauBado kauli hii unaiendeleza au umeifuta?
ndio utamu wa soka mkuu lolote linaweza tokea...Nyie hamwezi drop point kwa wolves?????
Mangi upooooo....long tymBado finally mkuu usijisahau
Pole saanaBado finally mkuu usijisahau
ningependa nikutane Spurs final kuliko mtoto mtukutu Ajax...Ila liverpool msijasahau kuna Fainal..
Tottenham sio mpinzani mzuri kwenu! Ombeni atolewe tuu..
man this two boys Robbo n TAA are just priceless, thier assist this very term is wordclass...Man, nakumbuka around January or February ulisema TAA is the best RB EPL now, nilikataa kimoyo moyo, nikawa sioni basis za kwa nini awe yeye.
Recently amekuwa na form moja ya ukweli sana, na jana ameendelea kunionesha kwa nini umempa hiyo ranking.
Naendelea kumfatilia aisee, he is a "wonder kid".
Nimeanza kutaga Mimi kwa niaba[emoji23][emoji23][emoji23]Natumai mitetea itataga sasa
Mkuu imetuchukua zaidi ya miaka 4 angalau na kikosi hiko cha sasa na bado kinahitaji maboresho mandogo mandogo ili kusudi hizi numbers sasa zigueke kua trophies, tuna imani na kocha na jopo la usajili watatufikisha kilele cha mafanikio..cesc fabregas:
Alexander-Arnold, 20 years old. People will tell me it’s bad defending, I’m telling you it’s pure intelligence and vision.
View attachment 1091630
kule kwetu bosi wetu ed woodward bado yupo usingizini na sifahamu ataamka muda gani, Don Clericuzio brother msimamo wangu hautabadilika mpaka dakika ya mwisho, siwezi kuwa na fikra kama walizonazo mashabiki wenzangu wa manchester united ya kwamba liverpool ni adui yetu asiyepaswa kuombewa mazuri.
nyinyi ndio munaotufundisha maana halisi ya neno team kwa sasa pale uingereza kwa sababu imewachukua miaka miwili tu kujenga timu yenye mtiririko unaoeleweka wakati kiupande wetu tunaingia mwaka wa saba huu na bado tunatafuta dawa ya kutibu nguvu za kiume.
nyakati za mwanzoni ligi ndio kwanza imeanza great thinker MosDef aliwahi kufanya mlinganisho wa wachezaji kwa kutumia vikosi vya timu kubwa tofauti pale uingereza, kiukweli nyakati zile sikumuelewa kabisa pale aliposema mlinzi wake bora wa kulia ni alexander arnold huku namba 6 bora ni fabinho baada ya fernandinho kama nitakuwa nipo sahihi.
sikumuelewa kwa sababu alimchagua fabinho haliyakuwa hajacheza hata mechi moja ya ligi kuu ya uingereza, kwa kile nilichokishuhudia jana kwenye televisheni yangu ya mbao nimejifunza ya kwamba kumbe nilikuwa mjinga nyakati zile.
You never walk alone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahahhahahahahahahahah karibu Liverpool