mzee wa suti hakika suti hiyo ni saizi yetu kabisaTuendelee kushona suti Liverpool HALISI.. mambo mazuri yapo njiani
Andika vizuri wewe au ndio kupagawa kwenyeweHame imeanza upyaaa
Ha ha haaa,mtatupenda tu.bila Salah,bila firmino
Siamini kinachoendelea