Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hamtaamin kipigo nje ndani

Poleni sanaaa
 
Hizi comment za liverpool fans nabaki nacheka tu,

Wanapeana moyo mpaka wanaongea vitu ambavyo haviwezekani

Sioni kabisa namna ya liverpool kupiga comeback 4-0 barcelona, impossible
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hawa kuku wa malkia wapewe tuzo ya kujipa moyo asee.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti barca anakufa 4-0πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi comment za liverpool fans nabaki nacheka tu,

Wanapeana moyo mpaka wanaongea vitu ambavyo haviwezekani

Sioni kabisa namna ya liverpool kupiga comeback 4-0 barcelona, impossible

Mbona unaumi/mbona unateseka kama aiwezekani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hawa kuku wa malkia wapewe tuzo ya kujipa moyo asee.[emoji23][emoji23][emoji23] eti barca anakufa 4-0[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa mpira gani barca aliocheza nou camp mpaka asifungwe hizo goli?
 
Acheni kuota mchana nyie mbayuwayuu hahaaa

Mpaka naona aibuu aisee

Ujui mpira wewe mbona msimu ulipita barca alishinda 4-1 nyumbani , mechi ya pili nyumbani kwa roma akafa 3 bila.sasa kama anafungwa na timu ndogo kama roma,sasa Liverpool si atakuchakaza.
 
Ujui mpira wewe mbona msimu ulipita barca alishinda 4-1 nyumbani , mechi ya pili nyumbani kwa roma akafa 3 bila.sasa kama anafungwa na timu ndogo kama roma,sasa Liverpool si atakuchakaza.
Nimegundua tatizo la liverpool fans wanaamin historia zinaweza kuwasaidia,

Ni aibu kubwa kuamin mambo yaliyopita yanaweza kuleta matokeo chanya, hasa kwenye mpira

Kujituma ndio kutaleta matokeo na sio historia ya waliifanya wenzio?

Walio piga comeback roma huko liverpool wapo,? Au ndio watacheza j nne? S

Shame on you
 
nilipokuja kugundua mpira kitu nuksi - mashabiki wa liverpool walisema watachukua epl na uefa -hivi unajua now wanasemaje ??

wanasema hivi"
zimebaki mechi mbili epl anything can happen daah noma wakati walisema before wao mabingwa
Leo ndiyo umewajua?
 
Kwa mpira mbovu aliocheza barca nyumbani kwake yaani pale anfield anakufa mapema,watu hawata amini.

Me naamini 100% anfield pale barca anakufa tunatinga fainali
 
Wana Liverpool HALISI,tuna game ngumu na NC muda huu!
Tuungane tuishangilie team yetu
Umoja wetu ndiyo nguvu,waacheni Liverpool FEKI waitukane team
In Klopp,we trust
 
Naona milner kapumzika ili awaue barca j4 , when love exceeds its limit
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…