Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nilipokuja kugundua mpira kitu nuksi - mashabiki wa liverpool walisema watachukua epl na uefa -hivi unajua now wanasemaje ??

wanasema hivi"
zimebaki mechi mbili epl anything can happen daah noma wakati walisema before wao mabingwa
 
nilipokuja kugundua mpira kitu nuksi - mashabiki wa liverpool walisema watachukua epl na uefa -hivi unajua now wanasemaje ??

wanasema hivi"
zimebaki mechi mbili epl anything can happen daah noma wakati walisema before wao mabingwa

Tangia nizaliwe sijawahi kuona mshabiki wa Mancity pengine we ndio utakuwa wa kwanza.

Wewe jumatatu mzee wangu Brendan anaenda kukuuwa, alafu jumanne naenda kumtafuna Barca na Messi wake.
 
Kuna petition ya mashabik wa liver huko ulaya ,ili messi afungiwe asicheze,haya mashabik WA liver kaongezeni nguvu ,UEFA wafanye maamuzi kabla ya jumanne[emoji3][emoji3]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] betting zinaharibu vijana walionza fuatilia mpira baada ya world cup 2010
 
Tabia mbovu za Waamerika ya Kusini wakichezea Barca au R.Madrid wala sikushangaa but he will the pride at Anfield
 
kilichotokea hivi leo, katika moja ya maduka ya mahasimu wakubwa wa Liverpool ambayo ni klabu ya Everton. Katika maduka hayo yameonakana yakiizua skafu za Lionel Messi. Yaan wameanza maandalizi ya kuwapokea Barca kwa mikono miwili.
:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…