Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unavyowaona barca wepes,hata kuna watu walisema hivo hivo humu, ila kidogo liver ale 5, kila mech na tactic zake, ndio maana Jana akaanza Vidal kuvuruga tu
Kuna hii ngoja nikwambie. Sijasema barca wepesi. Nimesema beki yao ni nyepesi sana kwa kulinganisha na striking force ya Liverpool nilitegemea lazima angepata goli la ugenini. Kumuanzisha Vidal kunaweza kuwa na impact kwao Barca wenyewe lakini ni nafasi ngap Liver walipata wakashindwa kuzitumia.

Tatizo lingine unapocheza na Barca jua kwamba tayari wao wana goli moja mkononi yan ni lazima wakufunge ni sawa na unapocheza na Man au Madrid za msimu huu jua kwamba lazima umfunge goli haijalishi atakufunga ngap ila jua timu pinzani tayari ina goli kuanzia moja.

Nina uhakika Anfield Liver anashinda ila shughuli ipo kuwazuia wasipate goli wao. 2-1, 3-1/2.
 
I think it's really sad to be a liverpool fan
 
Barcelona have never eliminated Liverpool from European competition with the Reds unbeaten in four trips to Camp Nou and the only English team to win there.
waooh
 
Liverpool fans wanasema "Barcelona hawana cha kutisha walishinda kwa bahati tu"......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…