The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Messi 2, Suarez 1 vs Liverpool 0
Mliwacheka Sana Man U mkaja na zile recordi zenu Mara Messi hajawahi funga Liverpool na kamwe hawezi.
Nawaonea huruma balaa. Matakavyokuwa na pressure, huku mnawaza ubingwa wa ligi. Kule Barca wanawaza Ucl tu.
Ila angalieni msikose vyote manake watu watapiga hema hapa mpaka msimu unaanza
Jamaa wakija ni english tu humu
Kwahesabu za harakaharaka majogoo tumeaga mashindano,nivigumu sana mechi ya marudiano kumpiga Barca 4 bila labda yule mwanga Mesi awe amekufa au amepata ulemavu wa kudumu.Hali ya Le mutuz sio nzuri[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]Kwani ni lini mlimaliza msimu na chochote?
Jamaa wakija ni english tu humu
Kuna people humu zimekimbia zisioni zikichat, wanajiita liverpool halisi
Tuseme Barca 3 - Liverpool 3H
Hatukua na bahati leo,timu imecheza vizuri
Wanazarau hivyo vikombe vya futuhi, tofauti na PEP anakomba yote, kombe la mfalme, Karabao, na sasa FA na EPL yote PEP atazibeba hana mazarau, ila Livber wana mazarau sana na hivi vikombe vidogoKaz anayoweza klopp n kuwakumbatia wachezaj na kupunch upepo mwaka wa ngap huu hata kikombe cha UJI hakuna inaumiza sana kwa kweli
Van djik beki kisiki mkuuKaz anayoweza klopp n kuwakumbatia wachezaj na kupunch upepo mwaka wa ngap huu hata kikombe cha UJI hakuna inaumiza sana kwa kweli
*lKuna uwezekano mkubwa usiku wa leo dembele katukanwa na ulimwengu mzimaWewe unayepigwa 3 O'clock kila mechi leo umepata pa kujifariji subiri kesho
IPO juu yetu kwa kipi labda,tumekutana Leo statistcs zinaonyesha tumewazidi karibu kila kitu.insu hapa no klopp ndio kazinguaHa ha ha tumefungwa kihalali pia selection ya timu nayo imetuangusha lazima tukubal wana Liverpool wenzangu barca ipo juu zaidi yetu na tumeona zile kelele zetu toka mwaka Jana nakumbuka tulisema maneno ya kejel juu ya barca lakn ukwel timu za Spain huwa hatuziwez fuatilia final ya Europa chn ya huyu klopp tulipigwa final uefa Madrid akatupiga Leo semi final uefa barca anatuweka
Hahahahahaha wale wa English midia wakija apa tutapoteana ..bora tumalize yetu mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wakija ni english tu humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa ni kamlomo sana
Kikosi gani kwanini haukumshauri DM Instagram?Hakukua na sababu ya kuiogopa Barca klop kaingia na woga uliompatia kipigo alipaswa kuanza na kikosi cha kawaida
Kwani unahisi watapata nini?Messi 2, Suarez 1 vs Liverpool 0
Mliwacheka Sana Man U mkaja na zile recordi zenu Mara Messi hajawahi funga Liverpool na kamwe hawezi.
Nawaonea huruma balaa. Matakavyokuwa na pressure, huku mnawaza ubingwa wa ligi. Kule Barca wanawaza Ucl tu.
Ila angalieni msikose vyote manake watu watapiga hema hapa mpaka msimu unaanza