Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi ya mwisho brighton watakuwa tayari wapo safe ....so hawatokaza..Ingekuwa at least mechi hiyo wanapigania kubaki wangeweza fanya kitu.But cardif will be relegated next match against united..from there brighton are just going to enjoy their last game against city..
Unadhani man untd Ina uwezo wa kuifunga cardif!?
 
Ashley Barnes: "Jurgen Klopp has even sent a sly text to say if I score he might sign me for next season."

Even Klopp needs a favour from Ashley Barnes.

He bottled it himself for the sake of proving wrong Liverpool's Fans and now wants a favour from Burnley striker? Pathetic
Chanzo Cha hii habar mkuu!!!?
 
Player of the year 17/18
IMG_20190429_004716.jpeg
 
Kwenye football,lolote linaweza kutokea.
MC anaweza kupoteza dkk za mwisho ( mechi ya mwisho).
Kumbuka Msimu ule Man U anajiaminisha Ubingwa,Aguero akabadilisha score board at dying minutes!
Football is undesribed game.
Lakini pia ukumbuke kua hata nyie liver mnaweza kupoteza ko msijihaminishe
 
Ha ha ha
Jamaa wa jukwaa la Barca nusura wanitoe macho niliwaeleza ukweli kuwa EPL ni the most exciting league in the world which makes it the most watched
La Liga than the Madrid derby, El Classico na Barca vs Atleti haina mvuto
Stats zinaonyesha even The Championship ya akina Leeds huko ina most viewers than La Liga
Afu umesahau kua EPL Ndo timu mbili zimeshuka muda hadi tumesahau.
Afu EPL Ndo ligi ambayo anayeongoza ligi ana point 92 wakt wa mwisho ana point 14 afu bdo mnaita ligi yenye ushindani.
Ni ushindani gani huo ambao gap la point kati ya anayeongoza na wa mwisho ni kubwa kiasi hicho
 
City jana walikuwa hoi kwa Burnely kipindi cha kwanza ila waliporudi kipindi cha pili walishambulia kama nyuki
City wako na pressure kubwa kiasi kwamba wanaweza fungwa au kudraw na Mbweha
 
Hahaa means Epl vibonde ni wengi zaidi ila wanajificha kwenye et big 6
 
City jana walikuwa hoi kwa Burnely kipindi cha kwanza ila waliporudi kipindi cha pili walishambulia kama nyuki
City wako na pressure kubwa kiasi kwamba wanaweza fungwa au kudraw na Mbweha
Na kama ingetokea Burnley wangepata goli kabla ya City PEP wangemtoa uwanjani na Ambulance kabla hata ya mechi kuisha.
 
Ha ha ha
Jamaa wa jukwaa la Barca nusura wanitoe macho niliwaeleza ukweli kuwa EPL ni the most exciting league in the world which makes it the most watched
La Liga than the Madrid derby, El Classico na Barca vs Atleti haina mvuto
Stats zinaonyesha even The Championship ya akina Leeds huko ina most viewers than La Liga
Thts true
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom