Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dudes are getting called fake fans on here, for wanting trophies baada ya kupitia maumivu ya namna hii. Damn!!

Utd/Arsenal fans wanalalamika sana now kuhusu their clubs, but hii ndiyo ilikuwa *real BANTER era*, Liverpool football club was at its lowest level as an insitution.

IMG_20190429_164321.jpeg
 
Rodgers (Mr. Perfect), will go at Etihad and try to attack, kwasababu he knows the whole world will be watching the game, so lazima atataka kuwa The main man wa siku hiyo, atataka kukumbukwa kama mtu aliyeisimamisha City kwenye mbio za ubingwa.

......and, hapo ndiyo atakapochakazwa kwa goals si chini ya 3.

its already written.
 
Hahahahahahahahah Brendan anajifanyaga ni Master Tactician sana huyu jamaa
 
Rodgers (Mr. Perfect), will go at Etihad and try to attack, kwasababu he knows the whole world will be watching the game, so lazima atataka kuwa The main man wa siku hiyo, atataka kukumbukwa kama mtu aliyeisimamisha City kwenye mbio za ubingwa.

......and, hapo ndiyo atakapochakazwa kwa goals si chini ya 3.

its already written.
as Bill Shankly used to say 1st is 1st second is nothing..useless draws has robbed us th 19th title..
 
as Bill Shankly used to say 1st is 1st second is nothing..useless draws has robbed us th 19th title..
Man, personally, i knew "tumeshaharibu" after Lei/WH games.

but, bado ni vizuri kuwa na hopes man, lets see, Benitez atafanya nini this weekend.

Think, kati yetu na City, chance kubwa ya ku-drop points ipo kwetu this weekend.
 
You are right! No one to blame but ourselves

We created this hostile environment by our own hands

We cried a lot that Klopp is going to kill our hope, but some fools came and told us Football have 3 results (Win, lose or Draw) something that will never flow inside the blood of Trophy hunters like PEP.

The real fighter knows only one result. i.e. WIN.

We had advantage of 7 points leading the race but we bottled it.

Now we are crying like little baby for relegators to beat City while ourselves failed to beat City. Ridiculous

Let's pull up ourselves and prepare for next season.

THIS SEASON IS OVER

Hope Klopp learned something from his pride that EPL is not about to prove someone wrong but to play every game as Final.

It is embarrassing to win EPL while we failed to beat Injured Manure and Struggling Everton at that time.

See you next season bro
Mkuu inauma sana nikumbuka game ya Man U natamani kupasuka lakini hii yote lazima tukili kiburi cha kocha wetu kimetuponza season hii
 
Man, personally, i knew "tumeshaharibu" after Lei/WH games.

but, bado ni vizuri kuwa na hopes man, lets see, Benitez atafanya nini this weekend.

Think, kati yetu na City, chance kubwa ya ku-drop points ipo kwetu this weekend.
not really i watched Newcastle this weekend n they were pathetic couldnt keep th ball or even mount any formidable attack...Benitez should be packing he aint in this field for this...

Expect at least 3 scores in that game
 
Mkuu inauma sana nikumbuka game ya Man U natamani kupasuka lakini hii yote lazima tukili kiburi cha kocha wetu kimetuponza season hii
Mkuu ishu hii wengi tuliistukia mapema sana, Klopp is just Klopp hiko kiburi chake japo mwenyewe hudhani kinamsaidia kuonyesha authority ndio kimetu cost ligi labda itokee mujiza Citi apoteze..

mengie yashasemwa mwisho hatuna wa kumlaumu zaidi ya Klopp...sasa kama hakusoma awamu hii basi hatakaa asomi tena...

nakumbuka uso wa Pep na benchi yake baada ya kipigo kutoka Newcasto yaaani wali give up kabisaaaa wakijua wametupa ubingwa mazima kilichofuata ndio kimetufikisha hapa tulipo leo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom