It's a thing to discuss niqqa. Unampa pole Liverpool ameshajikatia ticket ya UCL next season. Akikomaa anacheza fainali ya UCL back to back. Wakati wewe team yako hata haijui itamaliza nafasi ya ngapi this season? Are you serious?
Kabla hujaondoa kibanzi katika jicho la mwenzio angali kwanza boriti ndani ya jicho lako.
pole saaana kwa kipigo cha tatu mfululizo😂😂😂😂😂Unanifurahisha unajiaminisha kabisa Leicester kwa Chelsea atalegeza ila kwa arsenal atakaza,,ngoja tuone
Usije kulamba matapishi yako
We Apray.Burnley ni wabishi...wanaweza kuwapa ubingwa leo
Mkuu hujanielewa..wakati ligi inaanza kuna kuweka beti nani bingwa,nani atashuka daraja meneja yupi atafukuzwo, mfungaji bora n.k...Huyu mmoja unempata wapi mkuu,wakati uk tu kabka ligi haijaanza waliweka 25,ho niian kuna wengine walicash out ila washindi ni wengi dunia nzima,tho majina yao kutajwa ngumu 'privacy'
kwa sasa hatujafikia hapo nduguIpo sku mtaanza kumtupia vilago mpira makombe baba
Mkuu hujanielewa..wakati ligi inaanza kuna kuweka beti nani bingwa,nani atashuka daraja meneja yupi atafukuzwo, mfungaji bora n.k...
sasa wakati Leicester anachukua ubingwa katika makundi ya watu 5000 waliobeti mwanzo wa msimu ni mtu mmoja alisema Leicester bingwa,