Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lfc tupo vizuri kama kenyaa...epl 100% ni lazima kuichukua +UCL kuna mashabi mamluki wa man u na team zingine watakandia ila ukwel ndo huo belive or not we gonna wine the epl+ucl
 
We got sterling on form.
Unajua kwa kikosi hiki cha sasa. Mnaelewana sana. Wacha aende zake madrid,

Kwa klopp hatutafanya huo ujinga,msimu wa 2008/2009 Liverpool ilimaliza ligi nakufungwa mechi mbili tu na middle na spurs.

Wakamuuza alonso kilichofata,tumepotea mpaka klopp katurudisha.

Kikosi kibaki kama kilivyo.klopp awezi kukubali jamaa aondoke.
 
We got sterling on form.
Unajua kwa kikosi hiki cha sasa. Mnaelewana sana. Wacha aende zake madrid,
unless Madrid wavuje benki huyu Mane Money tunae sana tu hapa Anfield...boy is happy na ndio mchezaji wa kwanza ghali kununuliwa na Klopp hivyo anajua Klopp anamdhamini kiasi gani..

sasa endapo tutaambulia angalau makombe mawili au hata moja tuliyobaki kushindania basi naamini Mane haendi kokote na vile vile yupo kwenye mipango ya Klopp endelevu...

Sterling bana japo mlitoa pound za kutosha ukweli no kwamba that was peanut maana amekua moto balaaaaa...
 
Lfc tupo vizuri kama kenyaa...epl 100% ni lazima kuichukua +UCL kuna mashabi mamluki wa man u na team zingine watakandia ila ukwel ndo huo belive or not we gonna wine the epl+ucl
Chukueni EPL, UEFA anachukua Messi 10 kwa njia yoyote ile.
 
Barca hawezi itoa Liverpool
IMG_3157.JPG

Waangalie hao wanaojua kuchambua soka!
Barca kacheza na team inayo shambulia moja tu ambayo ni Spurs na wakatoka 1-1 kwake!
 
Mkuu unachukuliaje tukio la Milner kumnyima King kupiga ile Penalty?
kwenye mechi hizi unapoongoza goli mmoja ukapata penalty funga goli moja linarudi wakati wowote, ikipatikana nyingine apewe ajiongezee magoli,milner akiwepo kumpa Salah penalty ni kubahatisha he is never good penalty shooter bora hendo 100x
 
Okey! Nimekusoma mtani
 
Sijawahi kumwamini Salah kwenye penati maana lazima itokee rebound
 
unless Madrid wavuje benki huyu Mane Money tunae sana tu hapa Anfield...boy is happy na ndio mchezaji wa kwanza ghali kununuliwa na Klopp hivyo anajua Klopp anamdhamini kiasi gani..

sasa endapo tutaambulia angalau makombe mawili au hata moja tuliyobaki kushindania basi naamini Mane haendi kokote na vile vile yupo kwenye mipango ya Klopp endelevu...

Sterling bana japo mlitoa pound za kutosha ukweli no kwamba that was peanut maana amekua moto balaaaaa...

Madrid walishatamba kuwa hakuna mchezaji hata mmoja kutoka Liverpool mwenye hadhi ya kucheza Bernabeu!
Mara wanamsaka Hazard
Mara wanamtaka Erikssen
Mara wanamtaka Harry Kane
Mara wanamtaka Mbappe
 
Mkuu unachukuliaje tukio la Milner kumnyima King kupiga ile Penalty?

Milner alikuwa sahihi
Salah hakuwa sahihi

Kwenye Timu yeyote kunakuwa na assigned Penalty taker, Conner taker na Free kick taker.

Sasa hawezi Mtu mwengine kuleta maamuzi Yake zaidi ya hayo yaliyokwisha kupangwa.

Drogba alikuwa akihitaji ufungaji bora lakini panapohitajika ushindi Penalty alikuwa anapiga Lampard, ikitokea ya ziada ndiyo anagaiwa Drogba.

* Penalty taker wetu ni Milner
* Free kick taker ni TAA
* Corner TAA???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom