Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Madrid walishatamba kuwa hakuna mchezaji hata mmoja kutoka Liverpool mwenye hadhi ya kucheza Bernabeu!
Mara wanamsaka Hazard
Mara wanamtaka Erikssen
Mara wanamtaka Harry Kane
Mara wanamtaka Mbappe
ni kweli hawa Madrid hua pasua kichwa..ishu ni kwamba kabla Zizou kuodoka alikua akimhutaji Mane sasa kwa vile karudi tena ulingoni taarifa za umbea ni kwamba watawahitaji wote Mane n Salah...

vizuri mandogo wana long term contract hivyo lazima ofa zije za maana lakini pia timu inaedelea kuimarika kiushindani at th top top level hivyo hii ndio ndoto ya any professional player ku compete at highest level ...

kingine ishu ya Coutino kaodoka na gundu alipo haeleweki sio kama alivyokua Liverpool...

yote kwa yote we are on right track to conquer UCL na EPL or any starting now n coming seasons meaning tutaedelea ku attract top top.talent like Allison, Fabi, VVD n.k
 
nimesoma mahali ashley young akitaka msamaha kwa kilichotokea jana na kuwaahidi man u fans kuwa watapambana kurescue the situation on the coming derby anasema wana mechi nne na wanapaswa kuwin all four games for uefa qualification
 
Hata akiomba msamaha mara 1000, Watafungwa tu hiyo jumatano. Hawana uwezo wa kuwazuia City
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom