Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

about that Milner and Salah incident?

Milner had to take that man, i like Salah but team lazima ije first kwenye kila jambo.

i understand him (Salah), but didnt feel.sorry for him.
Yeah man!! If you can.. please post the vid fellow kopites waone reaction ya Salah

Even I niko upande wa Milner(he is good on penalties)

Ila this issue salah ataanza kustruggle tena( Coz the guy anakua easily distracted everytime)
 
A fight about ile penalty
We all know milner ndio our penalty taker ila Salah naye i think alitaka kuongeza magoli awe top scorer

So the issue ni kwamba kulikua na quarrel flani wote walitaka kutake on ile penalty na kuna maneno Milner alimtolea Salah about hiyo ishu... Na i dont think hata salah alishangilia pamoja fellows players after that penalty
Honestly hata mimi nilipenda Mo apige ile penalty japo najua Milner ndio chagua la kwanza kama yupo uwanjani. Hii ingemwongezea ari zaidi ya kutafuta magoli ili awe top scorer na ingesaidi pia kwa timu kufanya vizuri.
 
Mkuu tulipofikia ni timu kwanza then personal accolades baadae hivyo ni sawa Milner kupiga...tulikua ugenini na goli moja sio salamaaa sana hivyo we needed a cushion to that..
 
l
Hope mtamuuza mane,ili asiwepo msimu ujao.
Naihofia liverpool msimu ujao ikiwa na kikosi hiki.
leteni ofa ndugu every player is disposable as long as hataki kubakia na timu haimhitaji tena na ofa inasisimua basi anauzwo...
mpaka sasa si Mane wala wakala wake aliesema wana evaluate wapi acheze msimu ujao..

japo Spain kuna fununu za Salah kutoka kwa magazeti ambayo.hutumiwa na Real na Barca wanapoitaji mchezaji....

naamini mandogo watabakie nasi.
 
Honestly hata mimi nilipenda Mo apige ile penalty japo najua Milner ndio chagua la kwanza kama yupo uwanjani. Hii ingemwongezea ari zaidi ya kutafuta magoli ili awe top scorer na ingesaidi pia kwa timu kufanya vizuri.

Kwenye penalty Vice is better than Mo

Inanikumbusha incident ya Balloteli na Hendo

Team first then player(s)

Nadhani Lovren atamtuliza
 
Yeah man!! If you can.. please post the vid fellow kopites waone reaction ya Salah

Even I niko upande wa Milner(he is good on penalties)

Ila this issue salah ataanza kustruggle tena( Coz the guy anakua easily distracted everytime)
itakuwepo youtube tayari..

the good thing, Salah agreed in the end

angekuwa Ronaldo/Neymar/Kane etc wasingekubali.
 
l
leteni ofa ndugu every player is disposable as long as hataki kubakia na timu haimhitaji tena na ofa inasisimua basi anauzwo...
mpaka sasa si Mane wala wakala wake aliesema wana evaluate wapi acheze msimu ujao..

japo Spain kuna fununu za Salah kutoka kwa magazeti ambayo.hutumiwa na Real na Barca wanapoitaji mchezaji....

naamini mandogo watabakie nasi.
We got sterling on form.
Unajua kwa kikosi hiki cha sasa. Mnaelewana sana. Wacha aende zake madrid,
 
Fabinho
Screenshot_2019-04-21-23-21-00.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom