Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
huyu Pepe mwaka 2017 Januari Liverpool alikua wapeleke ofa ya £10m sijui nini kilikwamisha...leo hii ndogo anauzwo £70mNimeshaona hapa kwa Nicolas Pepe anataka kupigwa Mtu hela Ndefu.
Ingawa siwaamini sana Waafrika linapokuja suala la Consistency lakini huyu PEPE yupo vizuri.
Muhimu ni kujua tu ni Jinsi gani ata-adapt na EPL iwapo tutamsajili.
kabisa huyu abaki tu..ingekua yule ndogo wao Keane angalau angalau....He’s too slow!
Abaki huko huko kwa wazee Turin
Hakim release clause ni around £25m...amekua hot prospect in all major leagues anahitajika...Huyu Hakim Ziyech anaweza saidia
if th Spain dudes can bring loads of cash kama Coutino basi haina noma after all profit on players is needed...Apparently, Liverpool are lining up mkuu, huyu dogo ni noma, atakuwa cover ya akina Sturridge na Origi wakiondoka! Ila ndio hivyo tena akishatua Anfield tu ma mbwa ya Spain yatamtolea udenda sana! Lolss!
Hakim release clause ni around £25m...amekua hot prospect in all major leagues anahitajika...
wish tumpate this boy he is verstile n can shoot nje ya box something we need.
Scout department should be working on that kind of deal mapemaa ndogo atue for proper pre season..I’d go for the Brazilian wonder kid EVERTON
He’s the real deal
Ur thoughTeams are in.
MF 3 of Gini/Hendo/Keita
Gini as a 6, Keita as a 2nd holder and Hendo as b2b (8 role).
prefered Faby in a 6, but naona Klopp kaamua kumpumzisha kidogo..Ur though
Gini oflate miguu ilichoka bt his last sub alikua superb...hope Keita continue gaining momentum as we need him finishin this season high...Teams are in.
MF 3 of Gini/Hendo/Keita
Gini as a 6, Keita as a 2nd holder and Hendo as b2b (8 role).
Analysis pls about this mildfield chiefTeams are in.
MF 3 of Gini/Hendo/Keita
Gini as a 6, Keita as a 2nd holder and Hendo as b2b (8 role).
Mkuu maybe Klopp atuconvince kwamba anaogopa tu majeraha kwa his best Holding Midfielder right now., unless otherwise kwasababu Fabinho missed almost the entire first half of the season.. We just have to keep pushing angemuacha tu achezeprefered Faby in a 6, but naona Klopp kaamua kumpumzisha kidogo..
Gini played very well kwenye hio role mwanzo wa msimu, so i hope he will do a good job there (his form is a worry though).