Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Inaumiza sana

Cha ajabu mashabiki wenzetu wa kiingereza kutwa hawaishi kuwalinda hao deadwood players ambao ni wazawa wenzao
 
Hebu nisaideni Wakuu kina Don njinji, Captain Marvelous and Don Clericuzio ivi kuna Uzi mwengine wa Liverpool usiokuwa huu ambao huyu Malafyale ndiyo anaosoma post zetu?

Coz kwenye Uzi huu Sote tumegauka Wapiga Ramli kuombea Man City apoteze tubebe ubingwa! Lakini Malafyale ukiangaalia post Zake zote anatusoma kuwa Tunaiombea Liverpool isibebe ubingwa, Tunaipigia ramli Liverpool kuwa haitobeba ubingwa..
Je huwa hayasomi haya munayoyaandika?
Au anasubiri Liverpool ibebe ubingwa ashambulie wengine kuwa Waliiombea mabaya Liverpool..
Ni yeye pekee ndiye aliyeiyombea mema Liverpool?
Napata wasiwasi na Akili za huyu Mtu.
 

Nahishimu Mawazo Yako kwa 100%
 

Na ndiyomana Ninapenda kusema Leicester and West Ham games will haunt us all the years.

Hizo game zitaendelea kututafuna

Tulipata Nafasi lakini badala ya Kuitumia Klopp ndiyo aliona Sifa Kuwafurahisha Waingereza eti Anawaanzisha Milner-Hendo-Gini kuwakomoa wanaomkosoa.

Hatimae ndiyo hii anakuja kuzinduka kuwa anaingia Machakani wakati Muda ukiwa haupo tena.
 
Wachezaji wa manchester watakatwa 15% ya mishahara iwapo hawatafuzu UCL ,
Hii inaweza kusaidia wakakaza mech ya man city , na mkabeba EPL,

Mkuu hizi babari za kutunga lengo lake ni Kuwanyanyapaa Liverpudlians tu
 
Usinililie mimi mkuu.
Hizi ni lugha za kishabiki tu,uzuri mlengwa amenielewa.
 
Huyo jamaa nahisi ana asili ya ukichaa
 

Tukubali ukweli kuwa hatustahiki kombe la msimu huu
 
Wachezaji wa manchester watakatwa 15% ya mishahara iwapo hawatafuzu UCL ,

Hii inaweza kusaidia wakakaza mech ya man city , na mkabeba EPL,


MMhhh

Haya masuala ya kimkataba au inakuaje maana mshahara upo kwenye mkataba sasa muajiri anaanzaje kukata tena
 
Brother yani ume conclude mapema mnoo, Bingwa bado kupatikana aisee maana only a draw inaweza badili upepo wote ktk ligi hii ndio sababu kila wakishinda wanakaa wao juu na kila tukishinda tunakaa sisi juu. La msingi ni kukomaa na game zetu tushinde zote. City ana game tatu za away msiogope kiivyo, wao wana pressure mnoo kwa sasa maana wanajua just a draw tu itaharibu. Calm down and enjoy the title race

Note: Ili uwe bingwa lazima mwenzio akosee pia
 
Man City iwapo atachukuwa Ubingwa basi atakayepinga kuwa Guardiola siyo Football Genius, Mtu huyo ni kichaa.

Kwa upande wa CL ni aina ya Timu yenyewe tu ya Man City ndiyo siyo CL material. Na hili kwenye Soccer lipo na ninaliamini that is why PEP hafanyi vizuri.

Kwani Kikosi cha PSG kingelikuwa ni cha Liverpool au Real Madrid kingelichukuwa CL Mara hata 10 mfululizo. Lakini PSG siyo CL material ndiyomana hata wabadilishe na Wanunue Mastaa kiasi gani basi hawabebi CL.

Tofauti na Liverpool ambayo Benitez kabeba CL akiwa na Shit Squad.

Klopp last year kacheza Fainali akiwa na Shit Squad.

Msimu huu pia anachezesha Shit Squad ya Mido Fake lakini ameshatinga Nusu.

Kwahiyo Liverpool haihitaji Kikosi bora wala World Class Coach Kubeba CL.

Ni kocha kujipanga tu kama alivyokuwa RB.

Naamini PEP angekuwa kocha wa Liverpool basi tungebeba CL hata Mara 5 mfululizo.
 

Brother nikwambie ukweli tu! Hakuna hata mshabiki mmoja wa Liverpool ambaye hana tamaa japo ndogo ya kuwa Liverpool bado ina nafasi.
Kwahiyo sote tuna some hope but not hope kubwa.
 
King sisi humu wengi hatufahamiani ila kupitia uandishi wa mtu unaweza jua akil au ufahamu wa mtu...na Kuna mda mtu anaweza kukuchonoa ili upost kitu ambacho kinaweza kushusha heshima yako kwa watu ambao wanaheshimu Sana mawazo yako,watu hao wapo wengi kwenye jamii zetu... KIMSINGI UKISHAJUA AKILI ZA FLANI ZIPO HIVI ACHANA NAE. EWEW POST MADINI..MPIRA NI MCHEZO WA FURAHA UNAPOONA MTU ANALETA CHUKI HUYO SIO WA KUMWENDEKEZA.
 
Tukubali ukweli kuwa hatustahiki kombe la msimu huu
Unatumia vigezo vipi kusema hatukustahiki, with only one defeat record tu ya performance inaonesha tusipobeba ni Unlucky kwa hzo points tulizonazo maana team yenye kufika point hizi huwa inabeba. Tuseme ukweli tumekutana na team ambayo nayo iko vizuri. Ki ukweli ninachokiona ni kwamba mashabiki wengi wa LFC mlioweka matumaini kwa Spurs kumharibia City mmevurugwa na ushindi wa City jana. Hivi mnasahau kua hatujawahi perform kwa kiwango kama hiki miaka na miaka?Sasa mnasemaje hatustahili aisee. Tunastahili ndio sabab mnaona inauma sana kama City atabeba ndoo, tungekua hatustahili hata msingeanza kuumia mapema hivi, badala yake kama City angekua katuacha gap pnt 10 mngeona ni sawa tu
 
Na kuna watu bado watakukatalia kwamba Klopp hakuchezesha shit squad especially kwenye champions league.. Group
stage game tuliopambana ni ile ya kwanza vs PSG na hii ya mwisho vs napoli
Ila bado ntampongeza sana Klopp mpaka hapa tulipofikia

Ila kwenye ligi jamaa kachemka sana na zile useless excuses za wind na barafu kwenye uwanja wetu wa nyumban.. Klopp forced a very new formation katika kipindi kibaya sana kile akiamini yuko 7 points ahead

Tumekuja kupitwa na Man city and we are still claiming presha sasa hivi itakua kwao kwasababu ndo wako on top of the league.. These are very useless and baseless claims, kiukwel presha iko on our side way more

Tutabebwa na bahati tu kuanzia sasa
 

Ha ha ha ha ha brother calm down just relax and take it easy tu, hivi wajua tunaweza sema hata wao wanabebwa na bahati?Tazama jana goli linafungwa na Kinda FODEN, mtu asiyetegemewa kua atafunga, tena dk5 ya tano na linadumu mpaka game kuisha. Na zaidi Walker ananawa ktk boksi walivyo na bahati muamuzi haoni na Spurs wnanyimwa tuta.
 
If we could nick that Brazilian rookie Everton Soares, it will be absolutely fab! That kid has been highly rated as a new Neymar! He has a pace, creative and can play almost all the attacking positions! Valued at only £45M
Nilisoma sehem kuwa Ac Milan are working on his signature.

he's decent (imo), could be a good signing, but kama ilivyo kwa Zyech, we can dig a little deeper kabla ya kuwa-sign hawa.

at 23, ungeweza kutegemea kuwe na Clubs nyingi zinazomfatilia, but mpaka sasa nadhani ni Ac Milan tu ambayo imeonesha concrete interest, and kama akiondoka Gremio nadhani destination yake ya kwanza itakuwa ni Italy (serie A)..

personally, nadhani we should throw everything at Nicholas Pepe, kama siyo yeye then we should go full on Brandt.
 
Kama VAR ingekuwepo epl basi game la man city ingekuwa draw 1-1

Japo man city na wao walipata tuta ila refaa hakuona kabisa,

Faulo ya silva ndani ya box ile ulikuwa penalt kabisaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…