Kama Spurs wangekuwa kama juzi tungeongea mambo mengine as of now.Mkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....
Barcelona tuna wafunga nje - ndanil
Zyech is good..Why not him now....
Nina hakika moja ya vilabu vikubwa vitamuwania na kumchukua. Kama tayari ana gemu experience ya kutosha (mpk UEFA) nadhani ni bora kuliko wale madogo wetu tunaowatafutia timu za mkopo.
Barça can Kill us kwa kutumia wing-progression.I really hope we go there and just blow everything out... tukiweka Naby, Faby and Hendo... nina uhakika watakua pressed kwasababu that trio boosts robertson and Trent kupanda na kushuka...
And when trent goes up, faby can drop to fill the hole and hendo drops to cover for faby
napata taabu sana kuona Barca wanatufungia wapi
Niko pamoja na ww mkuu mechi ya mwisho itaamua kila kituLiverpool bingwa EPL 2018- 2019 nitaamini hivi hivi mpaka mechi ya mwisho ya ligi
Yes mkuu unajua chance ya city kulose inaweza kutokea tena kwa 85%lkn swal je na sisi tukifanya ujinga tena tukadraw au tukalose ([watu tumelisahau hili kabisa kuwa hat sisi mwimba unaweza kutuchoma])LFC may well loose to any team...mpira ndio uko hivyo. I don't have to be biased
Mkuu hilo swal la game ya city na man u siwez licancel kwa sababu kuna vitu vinanipa ujasiri katika hiliMkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....
Niko pamoja na ww mkuu mechi ya mwisho itaamua kila kitu
Ok keep calmI know that anything can happened, But No doubt I'm the only one ambaye I believe kwa 100% kwamba Man City ni Bingwa wa EPL 2018/19
Kweli chief,kimsingi sijakata tamaa bado an naomba zaidi na sisi tusipoteze mechi yyt mpaka mwisho...ila siku atakayo mpita Leicester ya Brendan Rogers daah ntaumia...Jana nimewaangalia Sana Leicester vs westham aisee wana weza kutotoa kimasomaso...Mkuu hilo swal la game ya city na man u siwez licancel kwa sababu kuna vitu vinanipa ujasiri katika hili
1.Endapo man u wangekuwa wamejihakikishia top4 basi naamini wangempa point man city
2.Ole anahitaji Heshima kwan ndo kwanza wamoto kapewa mkataba juzi tu hivyo ni lazima alinde heshima yake
3.kutokucheza Uefa Kwa man u wanajua kabisa watawapoteza baadhi ya wachezaji na pia kuna baadhi ya sajili watakazo taka kufanya zitashindikana kwan most of world class player wanatakaga UEFA na si FUTUHI
hivyo bas man u hana sababu ya kulegeza kama tunavyo dhani
: man u , leicester ,banley, Aaaaah hata draw moja isitokee, bado naamin kunakitu wakuu sijakata tamaa bado, siku akimalizana na brighton ndo ntaconclude
Kweli chief,kimsingi sijakata tamaa bado an naomba zaidi na sisi tusipoteze mechi yyt mpaka mwisho...ila siku atakayo mpita Leicester ya Brendan Rogers daah ntaumia...Jana nimewaangalia Sana Leicester vs westham aisee wana weza kutotoa kimasomaso...
Nani Kati ya Leicester na West ham ameponea chupuchupu!!?Acha utani mkuu,hawa Leicester walioponea chupuchupu kwa West ham ndio wakawatoe kimasomaso? Nyie shindeni mechi zenu tu.
LeicesterNani Kati ya Leicester na West ham ameponea chupuchupu!!?