Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sorry kwenye ligi 11

Sasa timu inashinda michezo 11 mfululizo wakati sisi tunaoongoza kwa points 7 tukawa bize kutowa sare na kina West Ham na Leicester huku Mtu anatwambia "Musijali tupo Pazuri"...

Kwani Mkuu na wewe kipindi hicho hukuwa katika wanaotwambia " Tusijali tupo pazuri draw ni jumla ya Matokeo?"

Sasa kauli ya kuwa Draw ni jumla ya matokeo tupo pazuri ndiyo inaanza kututafuna.

Sisi wengine tulikuwa Wakali sana kwa Liverpool kutoka Draw coz tulijua Guardiola akikamata Hatamu kumuondosha ni Kazi.

Nadhani kwa mwenye akili Amesha Tuprove Right.
 
Liverpool bingwa EPL 2018- 2019 nitaamini hivi hivi mpaka mechi ya mwisho ya ligi
 
ole sendeka sio fala apeleke samaki kwa jirani wanae awalishe dagaa, man u anahitaji top 4 kuliko city anavohitaji tittle itakuwa ajabu la mwaka man u adrop point kwake ili jirani abebe ndoo halafu yeye aende futuhi.
 
The way Mancunians hate Scousers they are ready for sacrifice Top Four to hand EPL to City and ended to play Europa League than to surrender EPL to Scousers.
 
The way Mancunians hate Scousers they are ready for sacrifice Top Four to hand EPL to City and ended to play Europa League than to surrender EPL to Scousers.

Hayo ni mawazo ya mashabiki lakini halipo kwenye uhalsia. Man U hawez kujitoa sadaka kurud futuh labda itokee afungwe kwa kuzidiwa uwezo.

Unadhan mtu kama pogba au degea anaweza kuwaza hivyo? Ole katika mechi7 tayar kapoteza mechi 5 unadhan naye atakubal kuendelea kuharibu cv?

Sisi mashabiki tunaruhusiwa kuwaza hivyo ila kwenye uhalsia hakuna kitu kama hicho.
 
Fact mkuu
 
Iyo Barca ya zamani tumeitoa zaid ya Mbili mkuu ..msimu wa 2000/01, 2004/05, 2010/11 ..ivyo usiishi kwa historia mkuu ..wewe kwa Barca huchomoki..
 
Let them loose to City at their own peril...Uzuri EPL ilivyo City may loose to Leicester, Burnley or Brighton and Hove Albion...
Mkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…