Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Bro!
Umeandika kwa uchungu sana.... mimi ni fan wa Liverpool niliyestahili hata kufunga gidamu za viatu vyako.
I've been reading about your comments since I joined the forum from you and the likes, to mention the few bro Ngwaba and Don. Hakika nimekuwa nikijifunza mengi.
Ni wazi lazima tutofautiane kimawazo lakini twapaswa kuheshimu mawazo ya wengine, ndo maana kwemye siasa kuna kitu huitwa collective responsibility.
Bro you're pro! Keep on sharing your thoughts/experience with us.....wengi tunaipenda Liverpool ila tuna uwezo mdogo wa kuifikia kupata taarifa kama upatavyo hivyo tunaishia kuokota habari kwenye vibanda-umiza na kuzifanya habari rasmi. We don't have the right source n we don't know how to get there?
MosDef, King and Don! Please open the Liverpool World to us!
 
he's good, but personally nadhani we should target superior talents kwasasa.

will be happy for his signature, but we can aim higher kwasasa.

Why not him now....
Nina hakika moja ya vilabu vikubwa vitamuwania na kumchukua. Kama tayari ana gemu experience ya kutosha (mpk UEFA) nadhani ni bora kuliko wale madogo wetu tunaowatafutia timu za mkopo.
 
Mliandika hapa na maandiko yapo kama Barca na Liverpool zikichanganywa hamna mchezaji wa Liverpool atacheza kikosi cha kwanza!
Tunaenda mtoa Barca UCL tena easy kuliko hata alivyo toka Bayern!

AIBU AIBU AIBU na hatutaki mje na vijijeno ya kutushangiia!
 

The mentioned mofos doesn’t know nothing about soccer!
Hao ni watabiri tu walio anza na Klopp out wakashindwa,wakaja na Hendo out wakashindwa na sasa wanashindwa pia kwenye kumuweka Pep kama ni Mungu-Mtu wa kufundisha soka!

Unawasifia hapa watu wanao kesha kutukana team yetu pendwa?
 
Tunaenda chukua EPL !
Tunaenda UCL final mara ya pili mfululizo
 
Mfuatilie Jeff Lea wa sports extra clouds fm the guy is genius jungu kuu alikosi ukoko
Mimi ni mshabiki tu na bado sijaona a true soccer pundit in Tanzania
At least katika thread hii kuna the likes of Mos Def ambao ukisoma the way they see and analyze the game, they are way miles ahead kuliko hao pundits uchwara wa kibongo
[/QUOTE
 
ila hapa tz tuna uhuru wa kuabudu hvyo nikuache kama unavyoabudu,kwangu mimi mungu ni mmoja tu na hapana wa kufananishwa naye ila kama kwako gurdiola ni mungu mwingine basi niiheshimu imani yako mkuu


Brother You are playing a guitar kwa Mbuzi
He will never change

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
 
You are right king. A draw is enough but kufungwa kwa City kutawatoa kwenye reli kabisa ambayo itakuwa poa zaidi.
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii
 
While I used to say Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
 
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii
umesema mwenyewe Mungu ni wetu sote...hio inatosha kusema, the best prepared team will win, hayo mengine subiri baada ya mechi.
 
While I used to day Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
Kila mtu akishinda mechi zake city bingwa
 
While I used to day Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
Citi akishinda leo na Manure, Ganaz ,Chelsi wakaja shinda basi Spurs atajikuta nafasi ya 6...

Top mwaka huu ni kaa la moto kila timu ipambane kushinda mechi zake...
 
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii

The day when you wrote this shit I knew What kind of someone you are.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…